'Jamani hatujachakachua michango ya mazishi ya KANUMBA'-MTITU

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mwenyekiti wa kamati ya mazishi ya Kanumba Mtitu G,amesema kuwa wao hawajachakachua pesa na michango mbalimbali iliyotolewa kwa ajili ya msiba wa Kanumba.
MTITU amesema kuwa kamat yake ilianza ikiwa haina hata sh 100,hivyo ilianza kwa gharama za wajumbe,
amesema kuwa jumla ya sh mil 70,502,000 walikusanya,na 52,102,000 wametumia,
pamoja na matumiz mengine,MTITU anasema pesa iliyobaki ni shiling milioni 4 na wamempa mama K the Great.....
Pia amesema Kanumba hajaacha mil 700 kama inavyodaiwa.
Sosi:HABAR LEO
 
DUH mpaka pesa za msiba khaaaaa tumelaaniwa jamani
masikini watz, tulitumia muda mwingi kufundishana juu ya umoja na tukasahau kuanza na misingi yake ya muhimu ambapo mmojawapo ni maadili.

matokeo yake watu tunaishi lakini hatujui hata vyanzo vya laana ya binadamu. Tupotupo tu, hii laana inaweza kutafuna hata vizazi vitatu vitakavyofuatia kwa hawa waliokula hizi pesa

YANI RUGE NA REDIO YAKE NJAA KALIWAO KILA KITU KWAO NI DILI
ULE MSIBA WAO NDIO WAKACHUKUA JUKUMU LA KUUPA COVERAGE YOTE KWA KIAI KIKUBWA VILE HATA BILA KUSHAURIANA NA KAMATI AU FAMILIA YA MAREHEM,
MSIBA ULIPOISHA TUH MBIO MBIO WAKAIFUATA KAMATI YA MAZISHI KUDAI MAMILION YA PESA,,ETI YA GARAMA YA COVERAGE,
MBILI WAKAANZISHA MCHAKATO WA KUPRINT MASHATI YA TANZIA YA MAREHEM BILA KUWAPA TAARIFA KAMATI WALA FAMILIA NA KUANZA KUUZA KWA 15ELFU KILA MOJA NA WAKAPGA PESA SANA,HAD WATU WALIPOHOJI NDIO KAMATI NA FAMILIA IKAZUIA,
ILE TENDA YA CHAKULA MSIBANI KIPIND CHOTE CHA MSIBA RUGE KAISHOBOKEA NA KUMPA MKEWE BILA KUSHAURIANA NA YOYOTE BAADAE AKAJA KUDAI MAMILION YA PESA UTADHAN ALIJUA KUA MAREHEM ANAKUFA SOON NAYEYE KUJIANDAA NA MAMBO YOTE YALE..!
MBONA NJAA ZAO HII REDIO ZINAWATOA UTU??
YANI WAO KILA KITU KWAO DILI??MALARIA NI UGONJWA WAO WAKATUMIA UDANGANYIFU KUIPATA ILE TENDA KWAO ILI IWE DILI..!
******* nyie Zama Zenu zimefikia mwisho sasa na njaa zenu
MNAPENDA SANA PESA ZA BURE MUTAGONGWA MASHINEEE....!!
 
YANI SHOGA RUGE NA REDIO YAKE NJAA KALI,WAO KILA KITU KWAO NI DILI

Duh!!.............yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah:nod::nod::nod:
 
Ngoja nikajinywee ulanzi na ugimbi,hizi dili za misibani ndio zinatuletea nuksi na laana hadi kaburini
 
Sikua na hbr atii
YANI SHOGA RUGE NA REDIO YAKE NJAA KALI,WAO KILA KITU KWAO NI DILI
ULE MSIBA WAO NDIO WAKACHUKUA JUKUMU LA KUUPA COVERAGE YOTE KWA KIAI KIKUBWA VILE HATA BILA KUSHAURIANA NA KAMATI AU FAMILIA YA MAREHEM,
MSIBA ULIPOISHA TUH MBIO MBIO WAKAIFUATA KAMATI YA MAZISHI KUDAI MAMILION YA PESA,,ETI YA GARAMA YA COVERAGE,
MBILI WAKAANZISHA MCHAKATO WA KUPRINT MASHATI YA TANZIA YA MAREHEM BILA KUWAPA TAARIFA KAMATI WALA FAMILIA NA KUANZA KUUZA KWA 15ELFU KILA MOJA NA WAKAPGA PESA SANA,HAD WATU WALIPOHOJI NDIO KAMATI NA FAMILIA IKAZUIA,
ILE TENDA YA CHAKULA MSIBANI KIPIND CHOTE CHA MSIBA RUGE KAISHOBOKEA NA KUMPA MKEWE BILA KUSHAURIANA NA YOYOTE BAADAE AKAJA KUDAI MAMILION YA PESA UTADHAN ALIJUA KUA MAREHEM ANAKUFA SOON NAYEYE KUJIANDAA NA MAMBO YOTE YALE..!
MBONA NJAA ZAO HII REDIO ZINAWATOA UTU??
YANI WAO KILA KITU KWAO DILI??MALARIA NI UGONJWA WAO WAKATUMIA UDANGANYIFU KUIPATA ILE TENDA KWAO ILI IWE DILI..!
******* nyie Zama Zenu zimefikia mwisho sasa na njaa zenu
MNAPENDA SANA PESA ZA BURE MUTAGONGWA MASHINEEE....!!
 
Kwa mujibu wa Habari Leo

Tshs 70,502,000 walikusanya
Tshs 52,102,000 wametumia(bila kusema wametumia vipi)
Tshs 18,400,000 zilitakiwa kubaki
Tshs 4,000,000 kapewa mama mfiwa
Tshs 14,400,000 wamekula wao

mdau umeleta mchanganuo mzuri sana,
asante kwa kuuwezesha uzi
 
Kwa mujibu wa Habari Leo

Tshs 70,502,000 walikusanya
Tshs 52,102,000 wametumia(bila kusema wametumia vipi)
Tshs 18,400,000 zilitakiwa kubaki
Tshs 4,000,000 kapewa mama mfiwa
Tshs 14,400,000 wamekula wao

Dah... Jamanijamani... Haya basi!
 
toooba, hawa jamaa kwakushadadia wana digree ya shigongo

hao ndo vijana wajasiriamal wa Kitanzania,
wanaish kwa migongo ya wenzao.
Me nilpata mashaka kwa jinsi Clouds walivyoipa promo ishu ya msiba wa Kanumba,yaan hata mzee Kusaga alivokufa hawakumzungumzia walau 2 days
 
Back
Top Bottom