Mnasemaje kuhusu Black Community ina watu wepesi kushawishika zaidi ya wengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnasemaje kuhusu Black Community ina watu wepesi kushawishika zaidi ya wengine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nicholas, Mar 11, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  kuna hii imani kwa watu wengi wa nje ya familia za weusi wanaamini kuwa mtu mweusi ni rahisi kushawishika.Ingawa matukio ya karibu ktk jamaa zetu yanonekana kusupport hii nortion.Ila kuna maeneo naona kuwa tunaonewa.Ila Ningependa watu walete mawazo yao.
   
 2. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Si kweli! ukifanya utafiti ni kwa nini weusi wengi wa America wanaingia katika Uislamu utakuja kugundua kuwa moja ya sababu kubwa ni kuwa wao hawaziamini media,kinyume cha weupe.
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hujaeleweka
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Kuna harufu ya ukweli hapa na hasa wale wanaojiita wasomi nasi tukawaamini na kuwapa madaraka ya kutuongoza na kulinda rasilimali za nchi...soma 'The Black Batch' for more information
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Naheshimu mawazo yako ila,hapa kumoderate tuu naweza sema haya. Hapa hujakataa kushawishika kwao.Tofauti ni kwamba unachosema wamekataa propaganda na ushawishi wa west wakachukua wa East/Waislam.Pamoja na kuwa hata wewe unaamini kuwa wao kutoamini western media kunafanya Islamic media kuwa sahihi,utakuwa hujatendea haki logic.Kwani waongo wawili hawatengenezi ukweli.Usipende sana kuingiza dini ktk matukio ya kupita kwani utapata shida defend hali inapobadilika...wapo waliowahi ingiza evolution ktk dini na kujikuta kuwa evolution ni against religion na ikitumika kisawasawa inakuwa pia against God.So usiwe mwepesi kusikiliza propaganda za dini hata km ni dini yako.
   
 6. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  wanasema tuna vitu hivi: - Tunakuwa easily distracted, influenced(Holywood movies, now facebook zinatubadili kwa haraka sana). - Ni waoga(tunaogopa wachawi, au vitu vinavyohusishwa na uchawi, hatusemi wala kufanya vitu tunavyoviamini,huwa tunafanya tunavyodhani vitawaridhisha wengine,tunauwa wapinzani wetu kwa hofu ya kutuzidi au kuhofia watatuua) - Tunakata tamaa haraka ndio maana tuna opt vitu vya haraka visivyohitaji fikra(hatufanyi research,tunalala sana ktk technology tunazopewa hadi zinapitwa na wakati). - Tunasahau haraka vitu vya msingi(tumesahau mfa gaddafi alikuwa tayari kutuua akiwa amin, tunasahau kuwa China, Russia na America wote wanahitaji na kugombea mali zetu ila bado tunaamini Russia+ China(wezi wa mashariki ni Bora Kuliko wezi wa magaribi). - Tunapofuka haraka na hatuoni vitu vilivyo wazi(hatuoni opportunities-hatuoni faida ya kufanikisha wengine,hatuoni faida ya kujitolea, hatuoni faida ya kuelishana).
   
 7. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  NINACHOSEMA: Wamekataa propaganda na ushawishi wa west wakafuata ukweli.
  Umekosea! Hakuna ISLAMIC media!
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmh......ni kweli ingawa unauma.
   
 9. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  sideeq usituaibishe.Nani kakuambia uislam ni ukweli? Hembu tuthibitishie.Mis siuoni huo ukweli ila hapa si mahali pa kuzungumzia na imani uliyoichagua sina haja ya kukubadili au kudhalilisha wewe au hata dini yako.Ila hapa unaongelea msuala ya ukweli halafu unadanganya, sasa sijui ni makusudi au kutoelewa.Nimejaribu kuambia usipende ingiza dini ktk mausala usiyoyajua kwani utajikuta ukipa wakati mgumu ilinda dini yako mambo yanavyokuwa tofauti. wapo waliokuwa wakiulinda ugaidi kwa kudai kuwa ni kutafuta haki n akujaribu uuunganisha na dini.Sasa waanapata shida washawishi watu kuwa si sehemu ya dini.SO BE CAREFUL NA USHABIKI.Naomba ushahidi kuwa kuwa uislam ni ukweli bila kutumia logic ya kiislam.Au km utaitumia hiyo logic ya kiislamna vitabu vykae basi uwe tayrai tayari kuvumilia watu humu ndani watakavyo vitumia vizuri kubishana na wewe. So naomba ungelewa udhaifu wetu ktk kushawishika ukilinganisha na wengine.Kuanzia ktk masuala ya imani, tamaduni, elimu, malengo ya maisha etc. Km wewe hapa ulikuwa na malengo fulani ila sidhani km ulijua km ungeishia kuwa propagandist wa Arab+Islamic movements.Kwa haraka kila unachoongea si kutoka ktk fikra zako ndio maana bado huelewi mambo zaidi ya kumwaga km wengine waliokaririshwa dunia nzima.
  Black amerika wana matatizo makubwa kifamilia, kijamii etc kiasi cha kuwafanya wapate shida sana fanya maamuzi sahihi ktk maisha.Wengi wanaozaliwa ktk magheto na washauri wao ni masela ,hawa hata wakifanikiwa ktk michezo, au hata muzic wanakuwa successful failures, aut total failures.SASA KM HAWA NDIO UNAOSEMA WANAUFUAT AU UKWELI BASI KUNAUWEZANO UNA SHIDA.
   
 10. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Na pia anasahau kwamba Uislam sio asili ya mtu mweusi kama ulivyo ukristo sio asili ya mtu mweusi. Mimi nakubaliana na dhana kwamba mtu mweusi ni rahisi sana kushawishika. Hata matatizo mengi ya Africa ni kutokana na kukataa kujitawala bali kukubali kutawaliwa na mataifa ya nje. Fikiria kama Africa ingekuwa na HUGO CHEBEZ, FIDEL CASTRO, (aah yule jamaa wa bolivia nimamsahau!). Leo Mandela anakumbukwa na wazungu kwa sababu ni mtiifu kwao lakini NYERERE alikuwa pasua kichwa kwao! hamna wa kumpa Nobel Prize!
  Tatizo la Afrika tunakula sana UGALI! ugali (mahindi) kwa wenzetu ni chakula cha mifugo. Wenzetu wanaotutawala wanakula NGANO. kwa hiyo sisi akili zetu ni kama za ng'ombe tu lazima tutii matakwa ya wakubwa!
   
 11. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo unarukia kuwa tatizo ni kufanya maamuzi sahihi na si suala la kuwa ni wepesi wa kushawishika!
  Nikitumia logic na analogy yako, ni kuwa hata wana wa Israel wakati wapo Misri chini ya Firauni pia walizaliwa ktk magheto, washauri wao mbele za macho ya firauni walikuwa masela, hawafanikiwi hata wakifanikiwa kidogo basi wanaishia kuwa ni total failure!
  Tafakari!
  Turudi kwenye mada: Muislamu akiangukia maeneo hatari kabisa ya watu weusi hii inatokea sana (simshauri muislamu apite) akiwa na alama zote za Muislamu kama kanzu, ndevu n.k hatadhuriwa na atapewa heshima yake wakati huohuo akiangukia katika sehemu salama kabisa za weupe atasumbuliwa aidha kimwili au ki maneno.
  nani mshawishika hapo mweusi au mweupe?
   
 12. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Sideeq : nafahamu how disperate you are kuhusisha dini yako na kila kitu.Ila km nilivyokuambia si salama sana kwani utalazimisha watu ku kujadili dini yako na watu humu ndani wana eveidence ambazo zitakufanya km si kuchukia kabisa kiasi cha kuhamishia kuwa wanatukana dini yako , basi ukapata taabu sana kuelewa ni vipi ulipoteza muda ktk imani yako.So acha hiyo biashara
  -but huku kuhusisha dini yako na kila kitu kunaonyesha jinsi gani hujaweza come into terms with islam internally.Nakushauri soma vitabu zaidi bila ushawishi wa mtu na kwa mtazamo positive ikibidi jifiche wasikuone hao mabwana wakubwa wakakushauri otherwise then utafunguka sana akili na macho na pengine unaweza jiwekea mipaka ktk ushawishi wa watu. Kuhusu waisrael kuishi gheto.NI kweli wameishi gheto si mistri tuu hata german, hata urusi kabla ya vita ya kwanza ya dunia .Ila kuna kitu kutaki kisema, sijui kama umewahi kaa na wayahudi na ukawaangalia vizuri.Ingawa hata unachoandika hapa hakionyeshi km una umakini wa kuangalia na kutafakari vitu. Wayahudi wana kitu tofauti kila waendapo, wana nidhamu fulani, kuna vitu hawapotezi ndio maana wamepunguza sana kushawishika kwa watu wao kuanzia umri mdogo.Wengi wanajua upepo ukibadilika wapo ktk kundi viumbe wanaoweza toweka.Badala yake wamejaribu kuwa washawishi kuliko washawishiwa.
  Mada si uislam hapa, mana mtu mweusi kuwa mwepesi kushawishika. Nadhani hujasoma maelezo yangu kuanzia juu. Mtu mweusi ni mwoga na yupo tayari ku appease mtu na akidhani ni ukarimu au atakuwa salama .Same pia inatafsiriwa tofauti na waislam.Mfano ktk jamii zetu watu huwa wakitaka chinja huwa wanamwita shehe ili achinje na kufanya kiliwacho kiwe halali kwa muislam kula.Ila mara nyingi waislam hawatafsiri km wenzao walivyokusudia. Pia ufahamu wamagharibi wanajua kabisa uislam una vita nao ktk maeneo mengi, na wana eveidence kuwa kila bomu likilia basi kunakuwa uwezekano mkubwa wa mtu kutoka jamii ya kiislam anakuwa amehusika.So tayari wana vigezo vyao vya kuangalia kwa harata possibility ya hatari.Km umefanya utafiti huwa kuna parameters unazoweza tumia kuondoa vitu ambavyo havihusiani na unachotafuta.Lengo ni kulizunguka tatizo.So km muonekano huo unafanana sana na wamfuatao osama hakuna shida ya kuzunguka sana wakati kuna uwezekano wa kuwapata wafuasi wa osama.So ni jukumu la waislam kujipambanua wazi na kujitofautisha na watu wa namna hiyo. Pia ujue ushawishi wa uislam ktk jamii za kiafrica ni mkubwa,na umetokana na mambo mengi, km ushirikina ni sehemu ya waafrica wengi hata wasomi.Uislam umewapa waganga wa majinn, kuna tafriri ya kusema ukweli ktk uislam kuna wapa sana waafrica njia rahisi ya kuishi huku wakificha makosa.Mfano Uongo ni mbaya universally ,ila UONGO mtakatifu unapendwa sana africa.Kudanganya kwa niamba ya dini poa, kudanganya kwa ajili ya chama, taifa, familia etc napo ni poa. Kuua ni kubaya ila kwa maslahi ya dini waislam wengi wataunga mkono,hayo yote yalimpa Idd amini hifadhi kwa vile aliweza unganisha dhana yake na kuua kafiri, Na gaddafi alimpa msaada kwa lengo hilo pia. Ukiweza pata statistics kutoka shule za watu wa rangi zote tuwekee hapa. Angalia ktk white (IRISH,DANISH, AMERICAN, ETC), ktk colored (Angalia latinos, Indians,Chinese, Arabs), Jewish people wapo mixed, then Black. angalia wanashawishika na makundi kiasi cha kutomaliza shule vyema na kufikia malengo. Ktk white wengi watamaliza na kufanikiwa hata nje ya elimu, wayahudi nao, wahindi nao. Waarabu wataishia kuonyesha arab supremacy + islam huku wakifurahi kuonyesha hela km wanazo, kukimbizana na women ambao ni mamiss, wenye akili, sana wazungu na wayahudi ili kujiridhisha, weusi wengi huishia kula unga na bangi km si kuleweshwa na maisha kiarabu yanayoakisi low self esteem ktk arab culture.
   
 13. b

  bibi.com JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,155
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  sijui kama kuna ukweli kuna mzungu aliniambia especially wabantu ndio wanashida zaidi ya kuwabetray wenzao hata ukimuambia amuue mama yaek apate hela hata fikiria mara mbili atamuua. sasa sijui kama kuna ukweli labda tufanye utafiti
   
 14. C

  Conso's son New Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ila sio imani zote zinakubalika, mengine ni fikra za mtu basi.
   
 15. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Bibi.com betrayal ipo zaidi africa, then asia/middle east ,south east asia, south america. Suala la wabantu ni racist zaidi ya ukweli, kuna theories nyingi zimekuwa zikizunguka kuwa bantu wapo chini ktk IQ,na hiyo theory imenunuliwa sana na watu wa kuanzia ethiopia, somalia,na lile kabila la rwanda, pia ukanda wa njia za vumbi kuanzia arusha kuelekea mpaka singida.Si haba sana kukuta watu duni sana ila wanaamini kuwa wao wapo juu.Hii imebusti sana moral ya watu km wasomali na imewaharibu sana ndio hawana amani.Ila bantu pamoja na kuwa exposed ktk hash treatments bado wana afadhali kuliko wafgan, parkistanis, somali, etc. Ktk kapu moja waafrica wote tunafanana.
   
 16. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  majina ya watoto uswahilini km Saadam, osama, arafat etc, na majina ya sehemu km kadhahar, etc yanaonyesha influence za nje.Mbaya tena hakuna ufahamu madhara yake ktk fikra za watoto na tamaduni zetu
   
 17. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  bado tunashawishika kuwa ujamaa upo na ni mfumo bora kabisa ingawa umewajenga wachache kuliko fikra zinavyoweza kuwa
   
 18. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Desperate? no!
  Lakini ndio maisha yangu mimi Muislamu:
  Quran 6:162 Say : "Verily, my Salat (prayer), my sacrifice, my living, and my dying are for Allah, the Lord of the mankind"
  Karibu! si mimi bali Quran ina Kuchallenge na kukuita ukatafute makosa kama utayapata:
  Quran 4:82 D
  o they not then consider the Qur'an carefully? Had it been from other than Allah, they would surely have found therein much contradictions".
  Black community in America inaweza kujisifu kuwa imefanikiwa kuwashawishi vijana (ambao ndio muhimili wa jamii) ulimwenguni kuikubali Rap/Hiphop!
  Kama unaona ushawishi ni jambo la maana sana.
  Hoja haina mshiko hii! kuna muoga zaidi ya Mzungu?
  Angalia Mjerumani baada ya vita kuu ya pili jinsi alivyo mu appease America mpaka ameishia alivyo sasa!
  Tufafanulie
  Mfano kuna watu wawili, mmoja ana social network nzuri kabisa ya kumsaidia kuwa mfanya biashara mzuri wakati mwengine hana, halafu wote wakaacha shule ni wazi kuwa wa kwanza "atafanikiwa" kuliko huyu wa pili!
  Vilevile wote wakimaliza shule, wa kwanza "atafanikiwa" kuliko yule wa pili.
  .....na usisahau majina kama Paul. Israil, Augustine etc na majina ya sehemu kama Sinza "Vatican", etc yanaonyesha influence za nje! Mbaya tena hakuna ufahamu madhara yake ktk fikra za watoto na tamaduni zetu !
  Usisahau kuwa wazungu katika vitu kama madarasa, mabehewa ya treni zao wanvipa majina ya nje kama Malaika, Istanbul, safari etc je nipo sahihi nikisema kuwa wazungu ni rahisi kushawishika kwa sababu ya hili?!
   
 19. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Sasa huoni upo desperate kuyalazimisha kwa wengine hata pasipostahili?Nimeakuambia huitendeid ini haki kuiingia pasipo.Hapa ni blacks na weekness zinazowafanya watumike.
  Sitaki zungumzia wala prove chochote ktk hii mistari kwani sikuja bisha dini hapa.Na topic haihusiani na dini.ila race.again unaiweka dini yake ktk mazingira ya kufanya watu waanze ichokonoa au hata idhalilisha.Anzisha thred yake ukabishane na watu ambao wapo tayari kukumisa kichwa,roho na mustakabali mzima wa imani yako.By the way hakuna kati yangu na wewe anayeweza badili hayo maandiko au ya dini ingine.
  Sasa inahusian vipi na dini yako?Au inahalalisha vipi wewe kuingiza dini hapa?
  Kwa vile wanajua na kuelewa madhara.sometime ujasiri mwingine ni kutojua unapojiingiza, sometimes ni kupima hasara/faida kutenda au kutetenda.
  Si lazima mafanikio yakawa km unavyofikiri.Hujasema network gani.Iliyomwangusha MC hammer, Tyson, au ya uporaji?
  Hata Osama, qibla(office building ya National House Arusha), palestina, ,Kindi, Uongo mtakatifu, halali, Alexanda, etc. So what?unataka tufute majina yapi?
  Mangine yamewekwa na watu wa asili ya huko, mengine ni udhamini, mengine ili kuwahaadaa watu wanaoshawishika kirahisi ili waingie line na kuachia kitu.Pia ujue multiculturism nayo imechangia,na wenyewe wazungu wameiita failure.muulize sarcozy na ufaransa.

  Sijui kama kwa watu weusi kuna chochote kati ya hivi.hembu kamuulize jamaa aliyeandika gari lake che guara, malcolm X, Osama bin laden, kanumba alikuwa ana lengo gani?


  Again nakushauri uwe rational,fair na mkweli.
   
 20. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bado huja ni convince kuwa mtu mweusi ni rahisi kushawishika!
  Toka katika hiyo defensive corner uliyowekwa kutokana na kauli zako mwenyewe uje utetee hoja yako kuwa watu weusi ni rahisi kushawishika.
   
Loading...