Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Arusha kimezidi kutikisika baada ya viongozi wake kuendelea kujiondoa na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Siku mbili, baada ya...
Juzi katika taarifa za habari kiongozi mkubwa wa Tanzania anawaita watu walioiba pembejeo za kilimo kuwa ni wajanja wachache ambao wameiba pembejeo hizo, hii inakuza dhana ya ufisadi Tanzania...
Sasa ufike wakati wananchi tufanye kila liwezekanalo viongozi wetu wawajibishwe.Ni aina gani hii ya uchumi unaonadiwa kustawi kwa asilimia 6.5 wakati deni linakua kwa asilimia 36?
Tuesday, April 17, 2012 3:20pm PDTBy: Pete Thomas, GrindTV.comTwo commercial fishermen in Mexico received the surprise of a lifetime Sunday when they hauled up a great white shark measuring...
Wakuu sijakurupuka, ila nimekosa kabisa mahali ambapo nitapata information ndo nikaamua niulize humu. Kwa sasa, nauli ya mabasi kutoka Dar kwenda Songea ina range ya bei gani? Tafadhali naombeni...
WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUFUNGIWA NDANI YA NYUMBA NA KISHA KUCHOMWA MOTO.
Wanafamilia walionusurika kifo baada ya baada ya kufungiwa ndani ya nyumba na kisha kuchomwa moto, usiku wa saa...
nilikua kituoni mwenge ghafla katokea trafik akamwita kondakta njoo alafu akaenda kwenye meza ya magazeti akachukua magazeti mawili akaondoka konda ndie mlipaji bila kupatana. je hii ni haki kweli?
Kawaida
waziri wa fedha yupo USA na waziri wa maji yupo USA kwa ajili ya maandalizi ya bajeti ya TANZANIA,amekwenda USA kufanya mambo makubwa yenye mashiko na nchi
je,kwa mtindo huu si lazima...
Duh kweli ccm imekosa wasemaji!
Maana huyu nape ni kama yule waziri aliyekuwa akijigamba kuwaangamiza wanajeshi wa marekani wakati akijua kuwa hali imekuwa mbaya, kwa nini asiwe mkweli kama...
nimekuwa
nikifatilia tovuti ya wizara ya mambo ya ndani kwa muda mrefu sasa
sijaona updates yoyote e.g ukifungua upande wa vacancy hamna lolote wakati hapo majuzi idara inazosimamia...
MAMA KANUMBA AAMBULIA MIL.4 KATI YA MIL.52 ZILIZOCHANGWA KWA AJILI YA MSIBA WA MWANAWE
SOURCE:MAMAPIPIRO BLOG
WAKATI kamati ya Mazishi ya msanii wa Filamu nchini Steven Kanumba...
GreatThinkers,
Muda huu sasa hivi 19h35 mabomu yanapigwa Central Buhongwa Secondari School Mwanza.
Madogo walitaka kuchoma shule ila baadhi ya walimu wamefungiwa ofisini
Madogo yamenunua petroli...
Source: mpayukaji blog
Wengi wanachukia tabia ya rais Jakaya Kikwete kupenda raha na utoro kazini. Pia anapenda sana matumizi ya hovyo kiasi cha kutunisha deni la nje la Tanzania. Kimsingi...
Naomba niwape pole kwa majukumu ya kila siku Great Thinkers. Nakerwa sana na baadhi ya wabunge ambao tangia bunge lianze sijawahi kusikia wamechangia ama kuuliza swali hata siku moja. Maana ya wao...
Amesema ni dharau na aibu kubwa kwa serikali kumlea mbadhirifu wa fedha za umma katika halmashauri badala ya kumfuta kazi na kumshtaki, anahamishiwa halmashauri nyingine. Pia anashangaa vitabu vya...
Askari Trafiki Modester Kachichi mwenye cheo cha koplo jijini Arusha,
ameanza mkakati wa kuwashikisha kitita cha moto cha shilingi laki tano,waandishi wa habari waliohusika kumuumbia kwa...
Fikiria gali inaondoka kituo kimoja A kwenda F, inapokuwa njiani kwenda B inachukua abiria waliosimama nakusimamishwa na police trafiki kati ya A na B, notification inaandikwa na safari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.