Mbunge wa temeke apata ajali akiwa safarini

prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,328
190
Mbunge wa Temeke
Abass Mtevu na dereva
wake ambaye jina lake
hakutajwa, wamenusurika
kifo baada ya kupata
ajali ya gari wakiwa
njiani kuja Dar es Salaam.


Akitoa taarifa bungeni

mchana huu,
Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai
amesema baada ya ajali iliyosababishia
majeraha kadhaa mwilini, Mtemvu na
dereva wake wametibiwa katika
hospitali ya Morogoro na
kuruhusiwa kuja Dar.


"Wamenusurika ingawa wamepata

majera kadhaa mwilini, na hivi
ninavyozungumza wapo njiani
kwenda Dar es Salaam" alisema
Ndugai kuwaambia wabunge.


SOURCE; BREAKING NEWS! MBUNGE WA TEMEKEMH.ABASS MTEVU APATA AJALI YA GARI AKIWA NJIANI KUELEKEA DAR ES SALAAM | Morogoro Yetu
 
Kwani si alitakiwa kuwa bungeni? Kitu gani kinamleta dar wakati anajiita mwakilishi wa wananchi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom