Cha ajabu ni nini? Au na wewe ulitaka kupost tuambie basi cha maana alichochangia
Nasari akichangia live bungeni.
aaa punguza jazba.
Nasari ni mbunge kama wenzake kuchania hoja ndivyo inavyotakiwa msishange wana jf tumpongeze kwani kuna wabunge wanalala tu mjengoniinshalah sina jazba mkuu
Cha ajabu ni nini? Au na wewe ulitaka kupost tuambie basi cha maana alichochangia