Tanzania nchi pekee ambayo wezi wa rasilimali wanaitwa wajanja wachache | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania nchi pekee ambayo wezi wa rasilimali wanaitwa wajanja wachache

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by african2010, Apr 18, 2012.

 1. a

  african2010 Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Juzi katika taarifa za habari kiongozi mkubwa wa Tanzania anawaita watu walioiba pembejeo za kilimo kuwa ni wajanja wachache ambao wameiba pembejeo hizo, hii inakuza dhana ya ufisadi Tanzania, mwizi aitwe mwizi si vinginevyo.
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  HAO NI CCM MBONA HAMTAKI KUSEMA UKWELI KUWA CCM WEZI WANAITWA WAJANJA!
  sikiliza speach za raisi wako wamagamba!
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkwereeee mwenyewe ni kati ya wajanja wachache wa nchi hii na mwanae!
   
 4. a

  african2010 Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Jana mbunge machachari wa kike wa upinzani anarudia kosa tena anawaita wezi kuwa ni wajanja wachache.
   
Loading...