Mabomu yarindima Buhongwa Central Sec School Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu yarindima Buhongwa Central Sec School Mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by spencer, Apr 18, 2012.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,797
  Likes Received: 1,339
  Trophy Points: 280
  GreatThinkers,
  Muda huu sasa hivi 19h35 mabomu yanapigwa Central Buhongwa Secondari School Mwanza.
  Madogo walitaka kuchoma shule ila baadhi ya walimu wamefungiwa ofisini
  Madogo yamenunua petroli, hali mbaya mabomu hadi mkolani na nyegezi yanasikika
  Tatizo kubwa walimu wengi wamehama na waliobaki hawaiingii madarasani kisa Mwekezaji mganda hawalipa mishahara miezi kadhaa sasa.

  Vijana hawataki utani, hii nchi sijui hawa wazee kama waiweza longo longo naona hazina meno tena
   
 2. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mpaka tunafika 2015 ccm tutakuwa tumeshawanyoosha...!
   
 3. B

  Buta Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tutawanyosha Tena kwa pass ya mkaa wa mawe.
   
 4. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hii nchi ina shida sana, na mbaya zaidi watawala wanajifanya hawaoni shida yoyote.
  Serikali inajua kwanza watoto wa form 2 hata kusoma hawajui, Waziri anashangaa ati kuona watoto hawana uwezo wa 'KKK' Kusoma, Kuandika na Kuhesabu.

  Kama vile hajui shida ni nini, kumbe walimu hakuna, na waliopo, ambao wengi wao wanapitia crash program kwa sababu ya mpango wa serikali hawana maadili na miiko ya kuwafundisha wanafunzi mpaka waelewe. Maisha yanawabana mpaka wanafikiria mambo namna isiyo halali ya kuinua kipato chao.

  kana kwamba hiyo haitoshi, kuna shule watoto ubao tu huu ambao wanaita blackboard wao hawana, na ndo wanaoambiwa kuwa watoto taifa la kesho. Kwa maana wanajua kwamba kesho is never coming.

  Tunahitaji viongozi, ambao watajali maslahi ya watoto wetu, wasio na uwezo kama wa wao kusoma Braeburn, Saint St Sec School, na English Medium, na International School of Tanganyika ama Moshi.

  Shule za kata ni nyingi kuliko hata idadi ya watu kwenye hiyo kata. fanyeni needs assesment kwanza kabla hamjakurupuka na miradi yenu hewa, tena ya mikopo kutoka world bank, ambayo ni watoto wetu ndio wataotakiwa kuilipa ingawa wanasoma kwa shida, hakuna madawati, maktaba, vitabu na hata ubao. Ingawa most of you mmesoma kwa bure kwa sera ya ujamaa, ukiwemo Mheshimiwa Rais mwenyewe. Mbona wewe haujakopeshwa mpaka chuo kikuu umesoma bure?

  Kama ni bomu, ni la maangamizi. tuepuke mapema kabla countdown haijaisha.
   
 5. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Waacheni wachome, hata Magogoni kama ikiwezeka ipigwe moto ili wajue shida za Wananchi, wanajifanya hakuna matatizo nchini
   
 6. Upcoming

  Upcoming Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Dah! Madogo wanatabu kweli kweli
   
Loading...