Nape hanatofauti na yule waziri wa habari wa iraq. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape hanatofauti na yule waziri wa habari wa iraq.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BORNCV, Apr 18, 2012.

 1. BORNCV

  BORNCV JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh kweli ccm imekosa wasemaji!
  Maana huyu nape ni kama yule waziri aliyekuwa akijigamba kuwaangamiza wanajeshi wa marekani wakati akijua kuwa hali imekuwa mbaya, kwa nini asiwe mkweli kama wenzake kule arumeru ambao waliomba kura kama rambirambi kumfuta machozi mtoto wa marehemu, kweli ccm iko taabani ukweli ndio huu, wazalendo wa kweli tuendelee na mapambano hii nchi ikombolewe. Tuachane na huyu waziri wa habari wa sadam husein.
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  damage control ni moja ya majukumu yake. ndicho anachofanya nape.
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,257
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  ha a ha ha NAPE bingwa wa kujilisha upepo , mashabiki tumetulia tunangojea result kama atashiba anajidanganya... hawadanyi wanachedema amabo tunajua kuwa tunampiga bao
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  View attachment 51943

  Mohammed Said Al-Sahhaf

  ha haa haaaa haaaa .... kweli kabisa .... yaani ukweli huugeuza uongo and visa verse
   
 5. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwa hiyo sisiemu ikifika naye ataenda ku act hollywood?
   
 6. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mawazo haya yamechangiwa na ndumu kwa akili ya kawaida haiwezekani
   
 7. k

  kamanda wa anga Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wala msipoteze mda kumjadili huyu kilaza! Upepo anauona ila anaongozwa na unafiki ili aendelee kulinda kitumbua chake. Kitaeleweka msiofu tumewachoka hawa wazee wa kuchekacheka kila wakati!
   
 8. BORNCV

  BORNCV JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wasifikiri watatawala milele, vijana na wazee wa mwaka 1977 sio sawa na wa miaka hii.
   
 9. kingfish

  kingfish JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  huyu jamaa propaganda zake zilimchanganya aliyekuwa rais wa USA wakati huo Bush.
   
 10. a

  adobe JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  umenifurahisha sana umenikumbusha enzi za gulf war 2.huyu nape nilikuwa namtafta wa kufanana nae sasa umenisaidia,kumbe huyu kafanana na tariq aziz waziri wa propoganda wa sadam.huyu nape huenda ni mjomba wake.
   
Loading...