Upigaji:Mama KANUMBA aambulia "chenchi" ya 4 m kati ya 52 m! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upigaji:Mama KANUMBA aambulia "chenchi" ya 4 m kati ya 52 m!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIM KARDASH, Apr 17, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [h=3]MAMA KANUMBA AAMBULIA MIL.4 KATI YA MIL.52 ZILIZOCHANGWA KWA AJILI YA MSIBA WA MWANAWE[/h]
  SOURCE:MAMAPIPIRO BLOG

  [​IMG]
  WAKATI kamati ya Mazishi ya msanii wa Filamu nchini Steven Kanumba ikikanusha kuwepo ubadhirifu Fedha za Mapato na Matumizi zilizokusanywa tangu kifo cha msanii huyo, leo imeanika mchanganuo wa Mapato na Matumizi ya fedha zilizokusanywa.

  Mwenyekiti wa Kamati Hiyo Gabriel Mtitu amewaambia waandishi wa Habari jijini Dar es salaam jumla ya shilingi mil.52,352,000 tu ndizo zilikusanywa.


  Alisema katika fedha hizo zilizopatikana zilitumika shilingi milioni 52,102,000, hivyo kubaki shingi milioni nne tu ambazo tayari amekabidhiwa mama mzazi wa marehemu.

  Aidha Mtitu amesema pesa zilizopatikana kwenye M Pesa ni shilingi 300,000 wakati kwenye Tigo Pesa ni shilingi 150,000.

  Katika hatua nyingine Mtitu ametoa shukrani kwa wale wote ambao wameweza kutoa michango yao ya hali na mali katika kufanikisha msiba huo.
   
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hivi hapo kuna RUGE? Maana kama naona sura yake vile........
   
 3. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  mbona serikali ilisema itagarimia mazishi yake ?? imekuaje tena hizo pesa zikatumika tena ????????????????????????/
   
 4. J

  John W. Mlacha Verified User

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  sio ndio hapo na mimi nashangaa?..watu wamepiga, wangekuwa an uwezo hata ile lexus wangeichukua
   
 5. A

  Amelie Senior Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kufa kufaana milion 48 maziko tu?
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ruge si yupo hapo mnategemea nini?
   
 7. R

  Renegade JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka niliandika kitu kama hicho mahali fulani, hawa watu njaa kali, angalau SK Alikuwa amejaribu, waliobaki hamna kitu, Jana nilinunua CD ya SK Magomeni, cha Ajbu nilipokwenda kuiangalia nikakuta ni tofauti na kile nilichotarajia, nilijiuliza maswali mengi sana, Nani anasimamia kazi za Steven baada ya kifo chake??? Kama huyu Mtitu? Sidhani kama anaaminika.
   
 8. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Akosekane kwenye umate umate tena atajinyonga huyu jamaa ni very cool but bitter,
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wivu wa kijinga huu
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wamekula hela za rambirambi wasubiri habari yao
   
 11. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180

  inaelekea na wewe ulikuwa mwanakamati . embu tuambie ukweli .
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  naona Ray anagida ndovu baridii!
   
 13. n

  nketi JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii ni nyingine, tunasubiri habari zaidi.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Nitarudi hapa ngoja kwanza nifuatilie matokeo ya Ubunge Dodoma.
   
 15. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Pumzika kwa amani s.c.kanumba
   
 16. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ruge Mutahaba ni shetani mtu !
   
 17. M

  Mawazo yangu Member

  #17
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tumemwona Ruge tu! Shigongo ni saint sana au?
   
 18. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ruge naye msanii?
  Jamani hamuoni mashada hayoyawezekana yalinunuliwa 1 m kila moja?
   
 19. M

  Mboerap Senior Member

  #19
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwani pesa ilikusanywa ya nini? Si ilikua ya maziko. Basi kama ndo hivyo basi wameshaizika. Bi mkubwa si anahitaji nauli tu.
   
 20. M

  MUSOLINI Member

  #20
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inamaana wapenzi wote ml 52 tu??
   
Loading...