Bajeti ya Tanzania kuandaliwa USA

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Kawaida

waziri wa fedha yupo USA na waziri wa maji yupo USA kwa ajili ya maandalizi ya bajeti ya TANZANIA,amekwenda USA kufanya mambo makubwa yenye mashiko na nchi

je,kwa mtindo huu si lazima tuwape madini kwa bei chee ili kufidia kile wanachotupa?
 
Kawaida

waziri wa fedha yupo USA na waziri wa maji yupo USA kwa ajili ya maandalizi ya bajeti ya TANZANIA,amekwenda USA kufanya mambo makubwa yenye mashiko na nchi

Mh! Hapo kwenye bold! That's why I prefer closed systems!
 
wabunge wa tz leo wameonyesha uzalendo wa hali juu kuhusu nchi yao na fedha za walipa kodi .

Kwenye msafara wa mamba.........
Wengine wanaojifanya wanaonesha uzalengo ni kenge walio kwenye msafara wa mamba!
 
hawa jamaa wanaiuza nchi

nadhani wanafanya mambo kama hawaijui USA malengo yake ni nini
 
Mkuu tumeshachoka na kelele za wabunge hawa. Tunachohitaji ni kusikia watu wamewajibishwa vinginevyo wanatuhadaa tu

Kwa kweli tumeshawachoka Wabunge wa Tanzania.

Yaani nakumbuka enzi zile watu kama hawa tulikuwa na jina tunawaita (NATO = No Action Talking Only)

Waliibua masuala ya EPA, Richmond, IPTL, na Ufisadi mwingine. Lakini huwa na tabia ya kuongea hadi mishipa ya shingo kuwasimama, Mwishowe yanazimika hapo hapo Bungeni mfano suala ya Richmond, Dowans.

Tumewachoka, ni heri ya Bunge la JF linatoa hoja za msingi na kufuatilia mambo kuliko Bunge la JMT.

TUANDAE KABURI LA KUIZIKA CCM 2015.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Kawaida

waziri wa fedha yupo USA na waziri wa maji yupo USA kwa ajili ya maandalizi ya bajeti ya TANZANIA,amekwenda USA kufanya mambo makubwa yenye mashiko na nchi

je,kwa mtindo huu si lazima tuwape madini kwa bei chee ili kufidia kile wanachotupa?
I

It sounds incredible. Maneno yako ni kama unasema hakuna Accountants Tanzania. Nadhani madhumuni ya safari ni tofauti na maandalizi ya bajeti kama unavyodai mkuu. Na kama ni hakika haya uliyoandika, basi ni aibu kwa vyuo vyetu ikiwemo UD.
 
Huyu Waziri wa fedha amemsaidia sana JK. Ndo ametufikisha hapa tulipofika.
 
I

It sounds incredible. Maneno yako ni kama unasema hakuna Accountants Tanzania. Nadhani madhumuni ya safari ni tofauti na maandalizi ya bajeti kama unavyodai mkuu. Na kama ni hakika haya uliyoandika, basi ni aibu kwa vyuo vyetu ikiwemo UD.

kaka

mbele ya USA UDSM si chochote si lolote na si UDSM tu hata wananchi pia
 
Back
Top Bottom