Kikwete alivyowaacha hoi waandishi wa habari Ughaibuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete alivyowaacha hoi waandishi wa habari Ughaibuni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Apr 17, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3]Source: mpayukaji blog[/h]

  [​IMG]

  Wengi wanachukia tabia ya rais Jakaya Kikwete kupenda raha na utoro kazini. Pia anapenda sana matumizi ya hovyo kiasi cha kutunisha deni la nje la Tanzania. Kimsingi, hakuna kikwazo cha maendeleo yawe ya kijamii au kiuchumi Tanzania kama Kikwete ambaye amejiruhusu kuitwa Vasco da Gama ukiachia mbali kuunda serikali kubwa ya kishikaji na kifisadi. Hebu jiulize kwa mfano. Wale mawaziri waliotuhumiwa kughushi vyeti vya shahada wamefanywa nini? Unawakumbuka? Tukukumbushe. Mawaziri waliotuhumiwa kughushi vyeti vya taaluma ni Matayo Matayo, Mary Nagu, Makongoro Mahanga, Emanuel Nchimbi na William Lukuvi. Hata meya wa jiji la Dar es salaam Didas Massaburi yumo ukiachia mbali tuhuma za ufisadi wa kutisha wa kampuni ya UDA.
  Angalia Kikwete anavyoendelea kuharibu pesa ya umma kwa kumlipa pesa ya ustaafu swahiba yake Edward Lowassa waziri mkuu aliyeachia ngazi kutokana na kashfa ya Richmond iliyoliacha taifa mahali pabaya huku wananchi wakikabiliwa na mgao na ulanguzi wa umeme.
  Kikwete ameamua kwa makusudi mazima kutumia cheo chake kulipana fadhila kwa kuunda mikoa mipya huku akiwapa ukuu wa mikoa watu waliokataliwa na wapiga kura kama Mwantumu Mahiza, Joel Bendera na mabalozi Deodorus s Kamala, Matilda Buriani na Philip Marmo. Kikwete ameunda wilaya mpya zaidi ya kumi na mikoa mipya minne. Kwa uchumi gani kama siyo kutumia urais kuwapa ulaji washikaji zake?
  Ukija kwa wakuu wa wilaya wasio na sifa zaidi ya ushikaji ndiyo usiseme. Wakati tukitafuta chanzo cha umaskini wetu tunapaswa kumkaba shati Kikwete na genge lake.

   
 2. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Sisi bana tuko na uchaguzi tu leo!! Hii si news ni ya masiku tele bana...
   
 3. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  You are dead right. Nia si nyingine bali kukumbusha wale wenye kumbukumbu ndogo. Hata hivyo ujumbe umefika na nimependa mchango wako. Keep it up Mkuu.
   
 4. M

  Mmeku Tukulu Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafakari mambo ya msingi ya nchi yako,na huo uchaguzi unaotafakari leo nao japo ya kuwa muhimu umetumia uelewo mdogo sana kutafakari mada ilowekwa ubaoni.
   
 5. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  uko sahihi mkuu nchi hii inakatisha tamaa sana
   
 6. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii serikali ya kishkaji inatutesa sana wananchi tuvumilie tu kila jambo linamwisho wake.
   
 7. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Together forever! Aluta continua. Fungua macho ya wengi my lad.
   
 8. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Tuame mkuu au unasemaje!
   
 9. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu mh wa magogon ameamua kulipua serikali maana anajua kuwa anaachia ngazi ila angejua kuwa chama chake anakiua mwenyewe asingekuwa anafanya hivyo. Mwisho wao 2015 tutawaondoa hata kwa kumwaga damu.
   
 10. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  The way things are going people are now prepared to shed their blood!! Rais hawezi kuwa anazurulazurula while the people in his country can hardly have a daily meal!!
   
 11. mbota

  mbota JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 742
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  ndani sao paul
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,304
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  Kikwete ndio mtu makini kuliko wote ndani ya CCM
   
Loading...