Traffic wa bongo noma

Mussa kiraka

Senior Member
Mar 4, 2012
106
13
nilikua kituoni mwenge ghafla katokea trafik akamwita kondakta njoo alafu akaenda kwenye meza ya magazeti akachukua magazeti mawili akaondoka konda ndie mlipaji bila kupatana. je hii ni haki kweli?
 
Konda ni rafiki yake, wanafahamiana. Kwani konda alilipa au alikataa? Hajalazimishwa kumbuka
 
Back
Top Bottom