Askari Trafiki mchawi Arusha aandaa mpango wa kuwakamatisha Takukuru wanahabari waliomuumbua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari Trafiki mchawi Arusha aandaa mpango wa kuwakamatisha Takukuru wanahabari waliomuumbua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arusha Leo, Apr 18, 2012.

 1. A

  Arusha Leo Senior Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=2]
  [/h]
  Askari Trafiki Modester Kachichi mwenye cheo cha koplo jijini Arusha,
  ameanza mkakati wa kuwashikisha kitita cha moto cha shilingi laki tano,waandishi wa habari waliohusika kumuumbia kwa kuandika habari zake.

  Afande Mode anasifika kwa roho mbaya kwa madereva wa magari jijini Arusha kwa kuwakamata ovyo na anaishi pekee kwenye nyumba yake kubwa iliyopo kwa Mromboo na hivi karibuni msichana johari abdala(20) amenusulika kuchukuliwa msukule na askari huyo na kuponea chupuchupu baada ya kumtuma kimazingara akachukue mtoto wake amlete kwa askari huyo kwa ajili ya kumtoa kafara ila alijikuta akikwama baada ya mama yake mlezi kumwaga maombi.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,690
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmh
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,987
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Yaelekea hajipendi hata kidogo!
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,912
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 280
  Aisee huyu Trafic namjua kwa roho mbaya aliyonayo! Lakini sikujua kama ni Mchawi??? Duh!!
   
 5. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mromboo...!
   
 6. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,296
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  Wapande za huko hebu mje na undani zaidi wa Afande.
   
 7. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,341
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Yap!!Ukisema kwa Mrombo hapa Arusha hainogi!!Mpaka uongezee o mwishoni
   
 8. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,864
  Trophy Points: 280
  hii ni karne ya ngapi jamani naomba mnikumbushe. kweli kweli waafrika kazi tunayo.
   
 9. d

  debito JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  du! hii niliisikiaga aisee kama ni kweli waandishi kazi wanayo na cku zote ukiwa na roho mbaya lazima utakuwa mchawi tu
   
 10. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,523
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  mkuu,yukoje huyo afande?ni mama mama flani hivi mweusi tii?
   
 11. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,694
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 180
  Naomba wasifu wake jamani kwani ni mwana mama au mwanaume kwani hawa jamaa huwa sipendi kucheka nao huwa wanapenda kuvuruga safari za watu , mara lift mara tucheki gari mara sijanywa chai n.k. yuko kivipi na anapenda kuwa eneo gani hapa mjini inawezekana namfahamu kwa sura
   
 12. u

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 2,522
  Likes Received: 1,177
  Trophy Points: 280
  Huyu namjua, mpuuzi kweli, Siku 2 hizi sijamwona kabisa anapenda kuwa sabena, Impala na friends Corner kwenye tuta anapenda hela sana.
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Roho mbaya haijengi, mshaurini aache mambo ya ulozi. Vyenzo na maendeleo havipatikani kwa ulozi.

  Mlozi na muongo ni watu wa kuchoma.
   
 14. w

  warumu Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mwanamke nampata aliwwai kuniharabia utaratib wangu WA safari 3yrs ago.kazi Inayonfaa ni ya kuuza sumu ni bonge ya satana!!!!!!!!!!roho yake ni nyeus kama sura ake ilivyo!!!
   
Loading...