Police notification kwa makosa ya barabarani haiwezi kuzuia makosa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Police notification kwa makosa ya barabarani haiwezi kuzuia makosa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makene, Apr 16, 2012.

 1. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Fikiria gali inaondoka kituo kimoja A kwenda F, inapokuwa njiani kwenda B inachukua abiria waliosimama nakusimamishwa na police trafiki kati ya A na B, notification inaandikwa na safari inaendelea. Gali hiyo itaendelea kujaza abiria sasa kwa mtindo wa kushona abiria kila kituo. Itakaposimamishwa na police trafiki njiani, notification itaonyeshwa na safari inaendelea, mchezo utaendelea huo huo mpaka gali itakapofika kituo F ambapo watalipa 30,000/-ilhali wao wamesanya fedha nyingi kwa notification hiyo moja.
  Je mfumo huu unaweza kweli kuleta ustaarabu wa level seat? na kusaidia gali kwenda na abiria kulingana na specification ya waundaji wa bodi na kuepusha accident barabarani?
  Hizo ndizo sheria zetu.
   
 2. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni swali la kipima joto au?
   
 3. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  bunge linaongeza adhabu baada ya sheria kufanyiwa marekebisho toka faini ya 20-30 elfu
   
 4. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Toa jibu lako!
   
Loading...