Kila mtanzania anadaiwa 335000! Toa maoni yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mtanzania anadaiwa 335000! Toa maoni yako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by drmkumba, Apr 19, 2012.

 1. drmkumba

  drmkumba Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Deni la tz.jpg

  Sasa ufike wakati wananchi tufanye kila liwezekanalo viongozi wetu wawajibishwe.Ni aina gani hii ya uchumi unaonadiwa kustawi kwa asilimia 6.5 wakati deni linakua kwa asilimia 36?
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Inawezekana nchi haina takwimu sahihi kuhusu pato la Taifa. Idadi kubwa ya wafanyabiasha ni "sole propriator" ambao hawajibiki kisheria kuandaa hesabu zilizokaguliwa. Kinachotokea hapa wao hulipa kodi kwa makisio bila kuangalia faida halisi ya biashara zao. Haiwezekani mtu alipe kodi ya TShs. 520,000 kwa mwaka wakati huo huo awe na uwezo wa kununua VX kwa cash, kujenga ghorofa bila mkopo; au anayekwenda china mara nne kwa mwezi alipe kodi ya 520,000? K

  Nachomaanisha pato la Taifa kwa kiasi kikubwa halijumlishe "sole business" hivyo kama mapato haya yangejumlishwa kwenye pato la Taifa, matokeo kiasi kinachokusanywa kama kodi ya Serikali ni asilimia ndogo sana kulinganisha na mataifa mengine.
   
Loading...