Naomba niwape pole kwa majukumu ya kila siku Great Thinkers. Nakerwa sana na baadhi ya wabunge ambao tangia bunge lianze sijawahi kusikia wamechangia ama kuuliza swali hata siku moja. Maana ya wao kuwa pale inapotea kabisa.
Kama Catherine Magige mimi nilikuwa namchukulia kama role model ila jamani kila siku nakesha kusikia yule dada ataongea labda au kuuliza swali lakini hola. Tatizo linakuwa ni nini?
Ni kutojiamini au ni kutokujua kilichokuweka pale au ndio zile nafasi za ubunge ambazo zina strings attached?? Wabunge vijana wengi tu wanawakilisha vijana vizuri ila kama huyu ndioo kilazaaa and it saddens me..