Bungeni jioni hii: Mh. Magreth Sakaya: wanaofuja pesa za walipa kodi wapigwe risasi.

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Amesema ni dharau na aibu kubwa kwa serikali kumlea mbadhirifu wa fedha za umma katika halmashauri badala ya kumfuta kazi na kumshtaki, anahamishiwa halmashauri nyingine. Pia anashangaa vitabu vya mapato zaidi ya 600 ktk halmashauri mbalimbali havionekani na hakuna aliyewajibishwa.
 
Unajua Sakaya wakawachana waziwazi,eti mpaka leo kuna watumishi hewa. Mmmh ngumu kuamini lakini Sakaya ameshika kbs kitabu cha ripoti ya CAG kama ushahidi.
 
Kwenye ajira mpya aliyetuma aplication anaambiwa kakosa, ambaye hakutuma aplication anaambiwa kapata!!!
 
Aliyepaswa kuwajibisha ni waziri husika wa wizara, msimamizi mkuu wa mapato ya halmashauri ni mkurugenzi haiwezekani mishahara hewa ilipwe mkurugenzi asifahamu huu upottevu wote anahusika na kama hahusiki amechukua hatua gani naye waziri ikiwa hahusiki kachukua hatua gani? Wote Lao moja kazi kwa raisi kumuwajibisha waziri wengine wataiga..
 
Back
Top Bottom