hivi hizi website za wizara hasa wizara ya mambo ya ndani vp?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi hizi website za wizara hasa wizara ya mambo ya ndani vp??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gwaks makono, Apr 19, 2012.

 1. G

  Gwaks makono Senior Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekuwa
  nikifatilia tovuti ya wizara ya mambo ya ndani kwa muda mrefu sasa
  sijaona updates yoyote e.g ukifungua upande wa vacancy hamna lolote wakati hapo majuzi idara inazosimamia zimetangaza ajira mfano magereza na uhamiaji. hivi
  hawa IT SPECIALIST wapo pale kwa ajili ya kazi gan?
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  umesahau kuwa tanzania huwa tunafanya vitu kwa kuiga tu lakini si kwa huduma. utakuta walimleta kibarua akawatengeneza kisha akaondoka halafu hakuna anyejua hata pswd ili aingize data hapo ndani. lakini bajeti ikija it depatment mamilioni. kumbe wizi mtupu
   
Loading...