Nauli ya mabasi Dar-Songea ni sh. ngapi?

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
20,606
20,343
Wakuu sijakurupuka, ila nimekosa kabisa mahali ambapo nitapata information ndo nikaamua niulize humu. Kwa sasa, nauli ya mabasi kutoka Dar kwenda Songea ina range ya bei gani? Tafadhali naombeni mnijulishe nimpe hela dogo akimbie fasta UBT
 
mkuu i thnk itakuwa kat ya 35000- 40000,wk ilopita nilikata ofc za super feo pale kariakoo kwa 38000. all da best.
 
Nashukuru sana wakuu kwa kurespond haraka, at least nimepata idea ya range yake. Thanks JF.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom