Igeni mfano huu, hakika tutashinda!

amba.nkya

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
446
131
WanaJF kabla hujasoma post hii, hebu angalia Avatar yangu kwanza.

Naam, tukitaka mabadiliko ya kweli kwenye nchi hii, tunatakiwa tuchukue maamuzi magumu na mazito ya kuikana CCM na mambo yake yote kama Avatar yangu inavyoonekana hapo. Inawezekana!

Nani yupo tayari kuachana na Magambaz na kujiunga na CDM? Lakini kabla ya kujiunga na kushiriki kikamilifu M4C, kinachotakiwa ni UZALENDO kwanza na kuikana nafsi ya Magambaz.

Nina imani kabisa hata Rejao, Ritz, etc wataunga mkono hoja hii kwa 100%. Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom