OCS amshushia kipigo DAS , Jino lang,oka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OCS amshushia kipigo DAS , Jino lang,oka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RUKAKA, Apr 19, 2012.

 1. R

  RUKAKA Senior Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Zoezi la Usafi wa mazingira wilayani Biharamulo limeingia Doa pale DAS ambaye ni mdau mkuu wa zoezi hilo kufuatia agizo la RC mkoani Kagera Jana Kupambana na askari wenye hasira waliomtembezea kipigo baada ya kumshurutisha mmoja wao aliyeagizwa na OCS kufanya usafi na kuacha gumzo katika mji wa Biharamulo. Taarifa hizo zinaeleza kuwa jino DAS hana kufuatia kipigo hicho.
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  source ingeongeza nguvu ya thread yako.

  Ataweka jino la bandia.
   
 3. l

  luckman JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Aisee!
   
 4. r

  resiro Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bungeni wapo wabunge wa upinzani na mawaziri wanne. Lukivu, mwanri, mkuchika na AG. Wengine wapo kwenye kikao cha dharura kuzibwa midomo yao. JE TUTAFIKA?
   
Loading...