Naibu waziri Elimu Amuaibisha mwl mkuu mbele ya wanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu waziri Elimu Amuaibisha mwl mkuu mbele ya wanafunzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dosama, Apr 19, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ktk taarifa ya habari saa saba mchana naibu waziri wa Elimu kamvua madaraka mwl mkuu mmoja wa shule ya sekondari mkoani Dodoma mara baada ya kufanya ziara inayodai ya kushtukiza.

  Kisa cha kufanya hicho ni baada ya kupata tetesi kuwa kina wanafunzi wanasoma kwa majina ya wenzao kwa mfano waliopata ujauzito

  Pili amedai shule haina walimu na waliopo hawana vigezo na ni part time.

  Kilichofuata ni kutangaza hayo yote mbele ya wanafunzi na walimu kuwa kamfuta kazi mwl mkuu huyo.

  My concern

  Ni kwa nini asianze na katibu wake, maafisa elimu wilaya hadi mkoa na iweje rungu limpige mnyonge?

  Uhaba wa walimu na wasiokidhi vigezo nani wa kulaumiwa? Nani asiyejua kuna uhaba wa walimu nchini?

  Utumbo wao unaozungumzwa bungeni wao wamefanywa nini? Nkuki kwa nguruwe...........
   
 2. Simchezo

  Simchezo JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Huyu waziri ni pumbavu kabisa!!!
   
 3. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tupe jina lake tudadisi cv plz.......yawezekana ni f4 failure huyu
   
 4. U

  UNIQUE Senior Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu ni mjinga siku nyingi.
   
 5. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka DC wa Mwanza aliwahi kumtunishia msuri Lowasa alipotaka kufanya ujinga kama huu akiwa waziri mkuu. Ni staili mbovu kabisa inayotumiwa na watafutao umaarufu.
   
 6. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  unajua kuwa waziri au naibu waziri si kama akili inafanya kazi unajua kuna siku moja inabidi bunge letu tupeleke madoctor tukahakiki akili za kila mumbunge na pia kujua kama hawavuti bangi unajua kunauwezekano mkubwa sana kuwabunge wanavuta ndio wanaingia bungeni maana ni aibu sana hasa ukiangalia maamuzi yao ni yautata kila wakati.
   
 7. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Alishawahi fanya kazi na ndugu yangu kwenye shule moja ya sekondari iitwayo Southern Highlands huko Mbeya mwaka 1999. Kipindi hicho huyu naibu waziri akiwa headmaster wa shule tajwa; ingawa hakuwa na sifa stahili. Ana kashfa ya kuiba mitihani ya form IV kwa makusudi ili kuwafanya wamiliki halali wa shule hiyo ya Southern Highlands (Wahindi) kukimbilia Canada, na baadaye katika mazingira ya kutatanisha shule ikaishia mikononi mwake.
  Anapenda sana mambo ya kishirikina, baadhi ya nyakati huongozana na "Prof. Maji Marefu" wake.
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Wasiliana na seo filikunjombe anaorodhesha majina ya mawaziri wezi na wadhirifu wa mali ya uma asije akamsahau.
   
 9. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ndo style pekee iliyobakia kwa wao kuonekana wanawajibika!
   
 10. k

  kijembe Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Mbn huyu waziri inasemekana anatumia jina la mtu mwingine.kuna mtu wangu wa karibu amesoma nae mda si mrefu ntarusha jina lake halisi
   
Loading...