"emplementation committee....." | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"emplementation committee....."

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magwero, Apr 19, 2012.

 1. M

  Magwero JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Leo ni siku nzuri sana kwangu,, kati ya siku nyingine nyingi ambazo nilipata fursa ya kufatilia matangazo ya Bunge na kuyafurahia....!
  Leo hapakuwa na mkwaruzana mkubwa sana kati ya wabunge na mawaziri au spika au naibu au katibu wake...!Ni HOJA NZITO , NZITO, UWAZI NA MASLAHI YA TAIFA YALIYOPEWA KIPAUMBELE...

  Licha ya Matumizi ya LUGHA za KIGENI kutawala majadiliano wakatifulani,,nashukuru MUNGU,, sikuachwa mbali sana na dasa 7 langu..!!

  Nimejifunza Mengi kwenye Bunge la leo lakini kwenye Tafakari iliyofanyika kichwani mwangu nimeona 1 KUBWA LITAKALOTUJENGA KAMA TAIFA NA UADILIFU WA VIONGOZI WETU....!

  "IMPLEMENTATION COMMITTEE "
  ni Abdul Jabil mbunge wa chama flani hivi aliyetoa mada au pendekezo hili Bungeni..

  Ndiyo alisema tuwe na tume ya UFATILIAJI wa KAULI na MATAMKO ya MAWAZIRI wanapokuwa Bungeni,, kama ilivyo kwa nchi jirani ya Kenya ambapo kwa takwimu alizozitoa ni kwamba adi sasa Mawaziri 3 ambao walitoa hahadi HEWA au ZISIZOTEKELEZEKA Kwa WAKATI ,,ikiwa ni ndani ya Bunge au Kwa wananchi WAMEWAJIBISWA Ikiwa ni pamoja na KUPOTEZA UWAZIRI...!!

  Mimi kwa upeo wangu naungana na mbunge huyu, kwani naamini hii itatusaidia...
  Na hata ikishindikana leo na kesho Basi sis wananchi 2liongelee hili swala katika ukusanywaji wa maoni ya KATIBA MPYA...

  Wewe mdau unalionaje swala hili..

  Karibu..
   
 2. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,128
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Wazo alotoa mbunge la kuunda Implementation Committee ni zuri sana maana mawaziri wengi wamejaa maneno lakini utendaji nje. Tazama kwa mfano jinsi mheshimiwa Mwanri alivyofoka kwa kutoa ahadi ya kuwashughulikia mafisadi ya halmashauri. Hakuna atakalofanya; ni geresha tu kama Zito alivyomgundua kwa kuliambia bunge kwamba huko nyuma Mwanri alipata kutoa ahadi kama hizi lakini hakuna kilichofanyika. Kukiwa na Implementation Committee watendaji aina ya Mwanri watafuatiliwa!
   
Loading...