Utawala bora ndiyo huu

no9

Senior Member
Nov 11, 2010
188
18
Waache watu wafunguke, waongee kinachowakela,wafichue maovu bila kutishwa,unawashirikisha watu kutoa mawazo yao,wanakukosoa unapokosea,ukarimu,ukiona mtu anatawala kwa mabavu, dikiteta hakuna uhuru kwa wataliwa basi hata akibomoa nyumba hawezi jenga tena lakini huyu mwenye utawala bora anaweza bomoa nyumba na kuijenga kwa kujilekebisha kutokana na mawasliano bora na watawaliwa.najua kuna watu humu hatanielewa lakini ukitafakali utanielewa.
 
Back
Top Bottom