Watz tudumishe utalii wa nje kama plz ni uzalendo na ujirani mwema jamani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watz tudumishe utalii wa nje kama plz ni uzalendo na ujirani mwema jamani.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by msambaru, Apr 19, 2012.

 1. m

  msambaru JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu watz tuhamasishane kufanya utalii wa nje na ofisi kubwa wameahidi kutoa ufadhili kwani kilimo kwanza na mikopo elimu ya juu imeonekana kutofanya vizuri.

  1. Wanaotaka kwenda kwenye kitchen part ya mkw mpya wa Zuma.
  2.Kumzika mutharika
  3.Kumuona Ocampo
  4.Kuangalia athari za tishio la tsunami malasiya
  5.Kumchek Annani syria


  WAHI SASA NAFASI NI CHACHE.
   
Loading...