RAI YANGU KWA SERIKALI--Maskini Afilisiki hata siku Moja

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Kutokana Kashfa mbalimbali za Ubadhilifu wa fedha za UMMA zilizo tolewa na Kamati mbalimbali za mashirika ya Umma ndani ya BUNGE KILA na serikali kuwafumbia Macho,Mi naikumbusha tu SERIKALI kuwa nchi hii ni yote sote na itakombolewa na wenye uchungu na nchi hii na Muda huo Sasa umefika.

Na ikimbukwe kuwa Hata mtuibie vipi,hata mtuonee vipi ila siku nguvu ya watu waliochoka na dhuruma ya nchi watakapo simama patakuwa hakuna wa kumlaumu zaidi ya kujilaumu wenyewe.

Maisha magumu yanaletwa na kikundi cha watu wachache tu chenye uchu na Urafi wa Rasilimali zetu.

mytake; MASIKINI HAFILISIKI....
 
Back
Top Bottom