Msafara wa Makamu wa rais Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msafara wa Makamu wa rais Mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by charminglady, Apr 19, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,736
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  dah,ndo maana hatuendelei. saa nzima magar yamecmama ksa msafara ukizingatia barabara za katkat ya jiji la mza ni moja. inaboa jaman
   
 2. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,651
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  mr. Mkasi kaja mwanza kuzindua nini?
   
 3. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wapi mkuu! Nimetoka pale elimu ya watu wazima karibu na chuo cha biashara kuelekea Victoria Palace Hotel - kapri Point mbona sijaona hii kitu? Naona tu msululu wa Ma Trafiki kila kona.
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,736
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  î thnk by the time unatoka hapo ndo walikuwa wamepita muda co mrefu. dats y ukawakuta matrafiki kila kona. ndo hao walikuwa wanasimamia huo msafara. dah nimeona pia wanafanya video shooting nahisi kuna mahali aenda kuzindua kitu flani.. ngoja tutazipata tu!
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  tz shamba la bibi
  hata mm nina mpango wa kuwa na escot!
   
 6. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,233
  Likes Received: 1,423
  Trophy Points: 280
  aliingia Mwanza tangu jana jioni, ule msafara nilidhani ni Vasco da Gama, kumbe na mzee wa mkasi anasindikizwa na ambulance kubwa!
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,736
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  umeona eh yan hana uhakika hata na afya yake...
   
 8. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,521
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kwani ana kifafa?
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,053
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ronaldinho bana... yeye kazi yake ni kuzindua tuu!
   
 10. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 3,522
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 280
  vasco da gama tz ni nan tena?
   
 11. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,087
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Mh! Si kuna mtu kaja na uzi hapa anasema Makamu wa Raisi yuko Tandahimba?
   
 12. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,233
  Likes Received: 1,423
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine wanaitumia kama choo, usiwaone hivyo afya zao mbovu kweli..
   
 13. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,233
  Likes Received: 1,423
  Trophy Points: 280
  teh, teh, teeeeeh!! Asante mkuu, umenisaidia kupunguza machungu.
   
 14. JS

  JS JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Huyu mtu anakaaga ofisini saa ngapi? Full uvasco da gama wa ndani
   
 15. l

  luckman JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,182
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  kuna uzinduzi wa ofisi gani au nyumba ya mtu inazinduliwa?
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,594
  Likes Received: 10,077
  Trophy Points: 280
  OLD MAN:(sees a young
  mansmoking)kijana wachana
  naiyo sigara,itakudhu ru afya
  yako
  MPITA NJIA:(ignores him)
  OLD MAN:(Next day)Kijana husikii
  uwachane na iyo sigara,itakudhu
  ru afya yako
  MPITA NJIA:(ignores him again)
  OLD MAN:(Next day)Kijana husikii
  uwachane na iyo sigara nilikuona
  nayo jana
  MPITA NJIA:Mzee ni nini
  mbaya,huoni niko na sigara
  ingine!ya jana nilitupa
   
Loading...