CHADEMA Vs CCM......Tupia chochote kuhusu vyama hivyo na nini Mustakabali WAO katika nchi hii

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
chadema- ni chama kinachotupeleka kwenye ukombozi wa ki fikra,kimatendo,kisiasa na kielimu pia.

CCM -imefanya mazuri mengi yaliowafikia wachache ndani ya 50YRS UHURU na kamwe hayakuweza kukidhi mahitaji ya WANANCHI waliopo TANZANIA,matokeo yake wameendelea kuwakumbatia wanaotuhujumu na kutuibia rasilimali zetu.

ONGEZA HAPO.......
 
Kwa bahati mbaya CCM wameshindwa kuzisoma alama za nyakati kwa makusidi!! hawataki kukubali kwamba wao ni chama cha jana na CHADEMA inawakilisha future, at least for the time being; Na hii ni sheria ya kiimaumbile; sehemu pekee inapoweza kwenda CCM ni Kaburini, kwa sababu imechoka, imezeeka na sasa inastahili kufa tu na kuzikwa ili taifa letu lipate viongozi wapya, wenye ari mpya ya kweli, mawazo mapya na dhamira dhabiti ya kuipeleka nchi mbele, CCM can not be reformed; it must be allowed to Die, Die Die, Die!!; and the faster it dies the better for the wretched of this country. ole wao wanaoshindwa kuliona hilo.
 
Ccm ni chama cha otis,rejao,ritz,mama porojo na wenzao,wameapa kufa nao.
2015 hawa watu hatupo nao tena jamvini.

Chadema ni chama cha ukombozi na ni chama cha wanyonge chenye nia ya kweli ya kukomboa nchi hii.
 
Nawapenda ccm sana but I have fallen inlove with CHADEMA ni wakati wao angalau watupe new direction kwani tumepotea
 
Back
Top Bottom