Maadui wameongezeka nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maadui wameongezeka nchini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kijana leo, Apr 19, 2012.

 1. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Baba wa taifa alisema tupige vita maadui watatu katika taifa letu, ambao ni UJINGA, MARADHI, Na UMASKINi, lkn kwa sasa ameongezeka adui mwingne wa kupigwa vita kwa kushindwa kufanya kazi ambaye ni CCM, huyu ni adui wa 4 wa wananchi.
   
Loading...