Siamini kama umeme sio mgao. Tatazo la kiufundi. Mitambo ya mitumba, chakavu au nini. Ninafikiria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siamini kama umeme sio mgao. Tatazo la kiufundi. Mitambo ya mitumba, chakavu au nini. Ninafikiria

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kwamtoro, Apr 19, 2012.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  kuukana uraia wangu

  Ninamawazo mengi sana juu ya mustakabali wa Tanzania. Nawaza sana juu ya hali ya uchumi wa Tanzania miaka kumi ijayo. Kama akutakuwa na mabadiliko ya dhati ya kiutawala. Kwa sababu sioni hamasa ya mabadiliko kwa wanachi zaidi ya afadhali ya siku iliopita. Matatizo kila kukicha yanaongezeka. Sitaki kuamini kuwa umeme sio mgao. Kama ni tatizo la kiufundi, basi mitambo ya tanesco inatusababishia mgao. Nimechoka, nafikiria kuukana uraia wangu Rwanda au msumbiji. Kila siku naumia tu. Ufisadi kila kukicha
   
Loading...