Tuwawajibishe wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwawajibishe wabunge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr.kibulala, Apr 19, 2012.

 1. M

  Mr.kibulala Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimefuatili vikao vya wabunge kwa muda sasa,ila cha kusikitisha sana wabunge wanalalamika tu,na kukubali majibu rahisi kutoka kwa serikali. KWA HYO WANANCHI WENZAGU TUCHUKUE JUKUMU LA KUWAWAJIBISHA WABUNGE WETU KWANI TUMEWAAJIRI SISI NA HILI TUHAMASISHE WATZ 2LIWEKE KTK KATIBA MPYA IJAYO.

  INAUMA JAMANI 2talalamika mpaka lini? Wanaiba kila kukicha.

  Nawakilisha
   
 2. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunawawajibisha vipi? Wataalam wa sheria tuambieni kisheria tunaweza kuwawajibisha vipi kabla ya uchaguzi ujao.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mi wakwangu nimeshamwajibisha.
  kaeni mkao wa kula mtasikia ndani ya wiki hiihii.
   
Loading...