TBC Habari aibu duh

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Hapa nasikiliza TBC habari TV, nasikia sauti mbilimbili, namsikia shyrose kwa mbaliiii na spika pia duh haya mambo gani jamani TBC taifa??? Shyrose anashukuru na habari ya Tandahimba juuu
 
TBC1 wanatia aibu sana, kama ndiyo wanaanza kutangaza leo!!!!
 
Umelazimishwa kutazama TBC?
mbona kuna TV nyingi ambazo wanaweka habari saa 2?
hebu msituchonganishe na serikali yetu bana! mambo mengine ni udhaifu wa watendaji tu.
 
kweli maana hii TBCCM haifai kabisa, naomba radhi kwa kuisikiliza hii TV
 
Mbona habari za PROPAGANDA huwa zipo safi tu, inaonekana walioajiriwa TBC ni maalumu kwa kutangaza propaganda
 
mimi kilichonifuraisha ni hotuba ya mkuu huko brazil
-bunge la tz ni huru na wabunge wanaisimamia serikali
-tz kuna uhuru wa vyombo vya habari mpk watu wanalalamika kwamba uhuru wa vyombo vya habari umepitiliza
-kuna CAG aneyefanya kazi zake kwa uhuru
-
-
-
 
Umelazimishwa kutazama TBC?
mbona kuna TV nyingi ambazo wanaweka habari saa 2?
hebu msituchonganishe na serikali yetu bana! mambo mengine ni udhaifu wa watendaji tu.
Mkuu utakufa kwa jazba, tua huu mzigo uwe huru.
Kwa siku unaumia mara ngapi kwa kumtetea shetani??
TV station inaboronga tunaikosoa wewe unapata pressure, umejivua ufahamu aisee.
Pole sana coz najua kumtetea shatani ni kazi ngumu sana.
 
mimi kilichonifuraisha ni hotuba ya mkuu huko brazil
-bunge la tz ni huru na wabunge wanaisimamia serikali
-tz kuna uhuru wa vyombo vya habari mpk watu wanalalamika kwamba uhuru wa vyombo vya habari umepitiliza
-kuna CAG aneyefanya kazi zake kwa uhuru
-
-
-

Habari hiyo mkuu imenitia hasira nikaamua kuhamia Radioni kusikiliza michezo tu RFA, sipendi porojo kama za mkuu wetu huyu anayetuacha tunajiendeshea nchi yetu under AUTO_PILOT
 
Unajua kukoselewa then ukakubali nayo ni hekima!Hapo wanaambiwa ukweli na watanzania wanaruka kimanga eti wanagombanishwa!Waacheni mpaka watakapokosa kabisa mtangazo ndio watajua hawangaliwi!Mijitu mingine bana!Alafu inajipa jipa jina zuriiii eti Tume ya Katiba!Kisa inajaji warioba na Mwesiga!
 
mimi kilichonifuraisha ni hotuba ya mkuu huko brazil
-bunge la tz ni huru na wabunge wanaisimamia serikali
-tz kuna uhuru wa vyombo vya habari mpk watu wanalalamika kwamba uhuru wa vyombo vya habari umepitiliza
-kuna CAG aneyefanya kazi zake kwa uhuru
-
-
-

Inaonekana mkuu alikuwa anatazama live bunge la leo.
na katika hayo aliyoyasema yote ni sahihi ukizingatia mwenendo wa bunge la leo.
 
Akirudi toka Brazil mwambie atueleze ametekelezaje maazimio ya Bunge kuhusu Jairo kama kweli Bunge liko huru na serikali inakubali kuwajibishwa. Acha uvivu wa kufikiri jitahidi uwe Great Thinker japo siku moja moja
 
Back
Top Bottom