JK, sikia hili. Nina wiki sasa toka nifike hapa Burundi na hizi habari za kina Ngeleja na mawaziri wengine wafujaji wa nchi mpaka huku zimeenea na watu wanatushangaa sana mpaka wanadiriki kusema...
Babu wa Loliondo, Mchungaji Ambilikile Mwasapile
Serikali imesema haina takwimu sahihi za vifo vya wagonjwa waliopoteza maisha kutokana na kukatisha dawa za kurefusha maisha baada ya kunywa...
Naomba kuuliza jambo kwenu wana jamvini mlio na data za uhakika toka huko nyumbani. Hivi badala ya kina Ngeleja na wenzake kuachishwa kazi kwa manufaa ya umma, JK atawafungulia kesi ama...
Mimi nimeajiriwa Arusha toka Dar,katika taratibu natakiwa nilipwe fedha ili nilete familia yangu ktk kituo changu cha kazi. menejimenti inasema nitafute bei ya kusafirisha mizigo yangu tani 1.5...
jaman hawa jamaa mi wananionea sana.simu yangu yapata mwezi sasa wananichukulia vocha zangu kwa muda wanaojiskia hata km haipigwi wala ctumi sms wala ctumii internet.nkiwauliza wanadai simu yangu...
Kwa mara ya kwanza tangu chuo hiki kianzishwe amepatikana raisi toka diploma mwaka wa kwanza ambaye amejinyakulia kura nyingi toka kwa diploma wenzake na kuwabwaga wagombea wenza wawili wanaotoka...
imekua kawaida sasa hasa kwa mtandao wa airtel kutoa vocha zisizo na ubora pale inapokwanguliwa ipo wap mamlaka husika,wananchi hatujui pakushtaki watu kibao wana vocha za airtel zilizoharibika...
Kuna adha ya upungufu wa MITA za luku pamoja na nguzo. Imekuwa ni kupokezana, mwaka jana taarifa ktka ofisi za Tanesco mita zilikuwa haba. Cha kushangaza mwaka umeanza, wateja wote wahaohitaji...
Mi sioni umuhimu wa jk kulipangua baraza la mawaziri,ni bora angewaacha panya walionona kuliko kuingiza wengine wenye njaa,wanapokezana nchi yetu kama mbio za vijiti nasi twatizama tu,kama waziri...
kuna tatizo la mfumko wa bei sasa hivi nchini kote,tena kwa kiwango cha juu sana.kwa mwananchi wa kawaida kila kukicha ni aheri ya jana.tunalo bunge kubwa kuliko nchi za kenya,uganda,na hata...
From heaven to Hull: Family kicked out of Bermuda after 20 years as UK overseas territory clamps down on immigrants from Britain
Stephen Tomlinson and his family ordered to leave British...
habarini wanajamii wenzangu,leo katika peruuzi zangu nimekutana na taarifa inayo mtaja Mr Benjamin Choppy (mzungu) kuwa ni katibu mkuu idara ya mawasiliano na teknologia katika ofisi ya makamu wa...
Jamani wadau,nimeenda ofisi za wilaya ya ilala nkakutana na watu nyomi na Cv zao,kumuuliza mmoja wao akanambia post za JKT kwa watu wa form 6(freshers) zimetoka..So changamkien kwa wale...
Polisi wa Tanzania mkoani Mara wameendelea na mauwaji kama kawaida yako ni kwenye mgodi wa nyamogo, wamemuua kijana mmoka na mwingine kumjeru vibaya... jamani serikali ya CCM mnataka kutuua...
Bei ya unga inapaa hama ndege aina ya concord. Kilo 25 ya unga wa sembe mara ya mwisho (tar. 02/04/2012) nilinulia kwa sh. 18,000 tu. Nimekwenda jana nimekuta mfuko wa sembe kilo 25 unauzwa sh...
Wapendwa katika BWANA,naomba kuelimishwa kwanini makarani walio wengi katika ofisi za serikali kuwa wana nyodo na majibu mabovu kwa wateja,hayo yote nimeshuhudia mwenyewe mahakamani,idara za elimu...
Mfuko wa wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kufilisika?
Kwamba serikali ya Tz katika muda tofauti imekopa fedha lukuki toka NSSF na kushindwa kufanya marejesho ktk mfuko husika! Mifuko mingine...
From heaven to Hull: Family kicked out of Bermuda after 20 years as UK overseas territory clamps down on immigrants from Britain
Stephen Tomlinson and his family ordered to leave British Overseas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.