Naomba msaada kuhusu malipo ya kupelekwa kituo cha kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada kuhusu malipo ya kupelekwa kituo cha kazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PAFKI, May 8, 2012.

 1. P

  PAFKI Senior Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mimi nimeajiriwa Arusha toka Dar,katika taratibu natakiwa nilipwe fedha ili nilete familia yangu ktk kituo changu cha kazi. menejimenti inasema nitafute bei ya kusafirisha mizigo yangu tani 1.5 nipeleke wanilipe. kinachonitatiza ni kwamba bei sijui, hii ni private sector ila wanasema wanalipa sawa na skimu za serikali.
  NAOMBA MTU MWENYE KUFAHAMU NAPASWA NILIPWE SH NGAPI ANIJUZE NILIPWE HAKI YANGU
  1.Mume na mke
  2.Watoto watatu
  3.mizigo tani 1.5
   
 2. V

  Venoo Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1 -Gharama za serikali mizigo ni shs.1,000/- kwa kilomita, sijajua cheo chako lakini wanapaswa kukulipia tani 3

  2- Kusafirisha familia tumia viwango vya jedali la bei za nauli la SUMATRA
   
Loading...