Kikwete unaipeleka wapi nchi na mfumoko wa bei?

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
538
Bei ya unga inapaa hama ndege aina ya concord. Kilo 25 ya unga wa sembe mara ya mwisho (tar. 02/04/2012) nilinulia kwa sh. 18,000 tu. Nimekwenda jana nimekuta mfuko wa sembe kilo 25 unauzwa sh. 26,000. Yaani ndani ya mwezi mmoja bei imeongezeka kwa takribani sh. 8000. Ikiwa namaana kwamba kwa kila kilo moja imeongezeka sh. 320. Hiyo ndio ari, kasi, na nguvu zaidi ulioahidi kwa Watanzania?
 
Tatizo watanzania tumelala fofofo, hili kwa hakika vijana tunatakiwa kuanzisha maandamano kupinga hali hii
 
Tufanyeni vizur kwenye uchaguzi ujao la cvyo tutaimba itaendelea hi hali mpaka mwisho .
 
Back
Top Bottom