Uraia wa Benjamin Choppy

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
habarini wanajamii wenzangu,leo katika peruuzi zangu nimekutana na taarifa inayo mtaja Mr Benjamin Choppy (mzungu) kuwa ni katibu mkuu idara ya mawasiliano na teknologia katika ofisi ya makamu wa Rais. swali langu ni Je huyu huyu jamaa ni Raia wanchi gani? na kama sio mtanzania iweje apewe nyadhifa kama hiyo?
source: issamichuzi.blogspot.com; Airtel wawezesha mkongo kwenda shelisheli
 
Back
Top Bottom