Cbe-dodoma kuongozwa na raisi toka diploma first year.

cutienoe

Member
Jul 7, 2011
38
6
Kwa mara ya kwanza tangu chuo hiki kianzishwe amepatikana raisi toka diploma mwaka wa kwanza ambaye amejinyakulia kura nyingi toka kwa diploma wenzake na kuwabwaga wagombea wenza wawili wanaotoka bachelor degree second year....
 
yani kadiri siku zinavyojongea nahisi mikakati ya Pius Msekwa kuiua Jf ina dalili ya kutimia. Threads zinazoanzishwa siku hizi humu Jf yani hata za "Black Belly Message" zinanafuu. Kuna siku mtu atandika humu bomba letu linatoa maji......!
 
tatizo nini? sasa hamna cha ajabu km alikuwa na haki ya kugombea na ana haki ya kushinda
 
Wanaochukua diploma ni wengi kuliko wanaochukua bachelor degree hivyo si ajabu kwa mwanafunzi anaechukua diploma kushinda uchaguzi.
 
yani kadiri siku zinavyojongea nahisi mikakati ya Pius Msekwa kuiua Jf ina dalili ya kutimia. Threads zinazoanzishwa siku hizi humu Jf yani hata za "Black Belly Message" zinanafuu. Kuna siku mtu atandika humu bomba letu linatoa maji......!

Denoo umenena najiulza huyu mtu kaiweka hapa, kule jukwaa la Elimu kiwekwe nini. Tumekimbia facebook kwa ajili hyo bdo wanatufuata jamani
 
Wanaochukua diploma ni wengi kuliko wanaochukua bachelor degree hivyo si ajabu kwa mwanafunzi anaechukua diploma kushinda uchaguzi.

Extraporation-kuna uwezekano mkubwa wa kupata watu wengi wenye hekima na uwezo wa kuongoza kuliko kundi la bachelors
 
Back
Top Bottom