Vocha za Airtel hazina ubora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vocha za Airtel hazina ubora

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chimpa100, May 6, 2012.

 1. chimpa100

  chimpa100 Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  imekua kawaida sasa hasa kwa mtandao wa airtel kutoa vocha zisizo na ubora pale inapokwanguliwa ipo wap mamlaka husika,wananchi hatujui pakushtaki watu kibao wana vocha za airtel zilizoharibika kwenye wallet zao.Airtel tengenezeni vocha zinazoendana na hali halisi ya kitanzania
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  yaani hizi vocha kama vimemwagikiwa na maji zikaloa ...inakera sana
   
 3. A

  Aswel Senior Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli kabisa hata mimi nimeshapata hasara zaidi ya mara tatu, waliangalie hili ili waongeze ubora.
   
 4. S

  SI unit JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hivi kwenye hilo tangazo lao hapo juu hakuna sehemu ya kuPM?
   
 5. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kweli kabisa vocha Airtel ni za kiwango cha chini sana,pamoja na uangalifu bado mara kwa namba zinafutika/kwanguka.Kibaya zaidi inaweza kukuchukua hadi dakika kumi kuwapata customer care,jibu wanalokupa utachoka.Utaambiwa nenda ofisi yao ya karibu au wakala wao.Kwa mzunguko huomtu unajikuta unaachana na hio labda kama ni ya thamani ya juu,imagine watoa huduma wetu walivyo na nyodo then upange foleni kwa ajili ya vocha ya Tsh.500,watakupiga jicho la dharau mpaka ujione hufai wakati ni haki yako.
  Wanatakiwa kujirekebishana pia kujaribu kutumia njia mbadala kupunguza mzunguko na usumbufu huu.
   
 6. Frank Alfred

  Frank Alfred Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo wanalijua sana maana hata wao wameprove hilo ila viburi! Mpakawapigiwe kerere!
   
 7. B

  Buto JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa airtel wahuni sana,wanatengeneza vocha hazina ubora na laini kama masaburi.
   
 8. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Its true and very disappointing! The customer care is another head-ache. Baada ya kuona hawana ushirikiano nimeamua kuwapiga ban ya mwezi mmoja kununua vocha zao. Kwani nn bana aakh!
   
 9. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Ukikosea katika kukwangua imekula kwako, hawa jamaa hatuthamini kama wateja.
   
 10. J

  Jichokuu Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nathani wanafahamu ila hawajali pengine wanatarajia kubadili jina,wanakera kwani ukipiga 100 hawapoke/hawapatikani.
   
 11. chimpa100

  chimpa100 Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hata kwa mawakala wenyewe hawana msaada wowote katika hili january makamba alione hili
   
 12. M

  Mohamed Ngwasu JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilijua peke yangu its true imeshanicost mara kibao mbaya zaidi niko site ambako ni airtel tu inashika kila nikiwapigia wananiambia niende ofisi ya karibu ambayo iko 350km wanatuumiza sana
   
 13. chimpa100

  chimpa100 Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kweli kabisa watu wanahamia ila huduma bado mbovu kwa upande wa vocha wamefeli
   
 14. M

  MWIGOLA Senior Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  hii ni kweli kabisa vocha za airtel zinatupa hasara, ukiwapa vocha marejesho zaidi ya wiki.
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Mimi tangu wanitie hasara sasa hivi nikitaka kurecharge bundle yangu ya Internet nanunuwa kwa kurushiwa sitaki kabisa kusikia mambo ya kukwanguwa.
   
 16. chimpa100

  chimpa100 Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hapo mkuu ndo suluhisho afu naona pia ndo lengo lao wanasema hawapati faida so wanapromote za kurusha as u know hawa ni oligopoly so walikubaliana waufute vocha za jero ziwe za kurusha ila voda wakaleta zile za 350 asa naona wao wameleta hzi ili tuwetunatumia za kurusha mkuu
   
 17. chimpa100

  chimpa100 Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mfano wa vocha ya airtel
   
Loading...