Salaam.
Kuna jamaa yangu,huwa kira mara usiku anaongea wakati amelala. Mara kuna siku alishutuka na kuruka kitandani.
Naombeni kujuwa tatizo ni nini?
Asanteni
Basi la Muro investment linalofanya safari zake Dar-Tabora likiwa njiani kutoka Tabora kwenda dar limeteketaa kwa moto nje kidogo na mji wa Morogoro, abiria wote wamefanikiwa kuokolea ila baadhi...
Kelele zimekuwa nyingi sana hapa mjini kuhusu ishu hii sasa hata ss twaweza kujua,kuona na kupambanua kama kiasi hicho cha pesa kinaendana na jengo lenyewe?pamoja na mazingira kwamba ni Italy...
Kuna matangazo kwenye radio yanayoelezea kuwa hata kulazimisha mapenzi kwa mkeo ni ukiukaji wa haki za binadamu, Hebu niambieni kuwa kuna watu wanabadilika jinsi ya kufanya mapenzi na wake zao kwa...
Scanty nourishment and the permanent lack of vitamins made people of the Bubal tribe ask their only wealth - cows - for help. The tribers learned that eating the menstrual matter of cows helps...
Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifurahi na baadhi ya Watumishi mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo katika Jengo la Golden...
Mawaziri wa jumuiya ya afrika wameafikiana kuwepo na ruhusa ya wanaichi wa jumuiya hiyo waishio mipakani kufanya biashara ktk nchi yoyote kwa umbali usiozidi mita 30!
Hii yaweza kuwa neema na...
Eti watanzania 30,000 wanakufa kila mwaka kwa sababu ya magonjwa ya uchafu, Eti 60% hadi 80% ya watanzania wanaoenda hospitali ni kwa sababu ya magonjwa yatokanayo na uchafu, Na tunatumia Tshs...
Ndugu wana JF Mwezi May ni mwezi mahususi ambapo Wanafunzi ktk Vyuo vikuu mbalimbali nchini hupata fursa ya kutimiza haki ya yao ya msingi kikatiba( yaani kuchagua au kuchaguliwa ktk ngazi...
Mkurugenzi kiwanda cha kuchambulia pamba cha s&c cha bunda bw. Donald gachuma muluga, amefariki dunia jana asubuhi huko bunda. Tumwombe mungu ampumzishe kwa amani kwenye makao yake ya milele. Ameni.
Hivi JK na hawa wasaidizi kutoka katika taasisi binafsi na siyo utumishi wa umma yeye anawajuaje ufanisi wao na integrity yao kama siyo kutembea majina ya maswahiba na marafiki kwenye briefcase...
Jamani wananchi wa Tanzania wanawalipa hela waajiriwa wa serikali wasiofanya kazi kabisa. Kila sehemu wanaajiri wataalamu wa IT lakini sioni wanachokifanya. Yaani website ya mashirika hadi ya nchi...
Habari ,
Habari njema kwa wasanii wa kitanzania na wa kiafrica, kutana na official facebook page ambayo itakuwa ina playlist ya miziki ya kiafrica mipya na ya zamani katika page ya MAMBO MUSIK...
Leo Rais Mstaafu BWMkapa alienda mahakamani kisutu kama mtetezi wa Balozi mahalu juu ya ununuzi wa nyumba kwa ajiri ya ubalozi wa Tanzania nchini Itali,
Katika utetezi wake kasema yeye alipata...
Polisi mkoani Arusha imewatia mbaroni wauaji watatu waliomuua kwa kumchinja mwenyekiti wa chadema kata ya Usa River wilayani Arumeru,Msafiri Mbwambo na tayari wamefikishwa mahakamani.
Kamishna wa...
Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya...
Mikutano ya chadema imekuwa ikivutiwa na watu wengi kama tunavyojionea katika Tv na magazeti pia tunajisomea habari kuwa baadhi ya wanacha wa ccm wanajinga chadema kama ni kweli hilo,lamuhimu...
baada ya kufanya maandamano ya kushinikiza upatikanaji wa umeme hatimaye mafundi wa Tanesko wameweka kambi mjini humo ili kuhakikisha umeme unapatikana.
Hali ya umeme imeanza kuwa nzuri na hii...
Bw. Ngeleja akiwa waziri alitamani na aliamini kila mtu ni lazima amtambuwe kuwa yeye ndiye Waziri hata pale anapokiuka taratibu za kazi kwa tasisi zingine. Kumbukeni alivyosababisha kumfukuzisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.