jk azingua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jk azingua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rose Mayemba, May 8, 2012.

 1. R

  Rose Mayemba Verified User

  #1
  May 8, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Mi sioni umuhimu wa jk kulipangua baraza la mawaziri,ni bora angewaacha panya walionona kuliko kuingiza wengine wenye njaa,wanapokezana nchi yetu kama mbio za vijiti nasi twatizama tu,kama waziri amemfukuza amekuwa na imani na manaibu au makatibu wake? aache kucheza na akili za watu walio timamu.kama hao walikuwa wema mbona hawakutoa ripoti za ubaya wa mabosi zao.makamanda hapa ni kukomaa tukabidhiwe dola,Mungu atatuhukumu kwa kuliweka taifa rehani na kuacha watanzania wakiteseka.zero na sifuri vyote sawa
   
 2. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna mizoga pia iliyobaki kama Wassira, Maghembe, Ghasia, Mkuchika etc! Natamani Tz ingekuwa China au Rwanda, wangeona cha mtema kuni!
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Labda wahame hii nchi kabla ya mwaka 2015 kwasababu lazima tuwachomoe kwenye mitaro Kama gadaff
   
Loading...