Tigo acheni uhuni bhana alaa

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
jaman hawa jamaa mi wananionea sana.simu yangu yapata mwezi sasa wananichukulia vocha zangu kwa muda wanaojiskia hata km haipigwi wala ctumi sms wala ctumii internet.nkiwauliza wanadai simu yangu yenyewe ndio inahizo setting za kukatwa pesa.sasa swali linakuja je mbona mi namiliki hii simu kitambo na haka katabia kamekuja sasa?halafu suala lingine ni kwamba ikiwa imebaki chini ya 500 inakua cwez kumpigia mtu tena simu naambia salio lako ni chini ya tsh 60 natakiwa kuongeza salio kabla ya kupiga simu.huu ni wizi na uhuni wa wazi.km kuna mtu wa tigo humu ndani awaambie wenzie huu co uungwana wananchi mnatutesa jaman.nafikilia kuhama mtandao tatizo watu wangu wengi wako tigo.
 
Tigo ni mtandao wa wizi sana, mimi nimeshawajulia, wameniibia sana, sasa sitaweka tena pesa, nitasubiri tu kupigiwa maana nina mitandao yote na kila mmoja na simu yake..Tigo tuhame wote
 
yaser hamia huku...tupa kule hayo makitu...siku hizi mitandao yote bei poa...
 
Last edited by a moderator:
tiGo kweli hii miziki wanatukata sana, halafu ukitaka kutoka hawataki, ukijiunga kwenye BlackBerry kila saa wanakukumbusha muda umeisha jiunge na Internet ya tiGo wakati haiwezi, hebu wajulisheni tutawahama
 
mimi wananikosha pale ambapo,salio lako likiisha,unaruhusiwa fasta kukopa,sasa ukishakopa,mara tu ukianza kupiga simu kwa watu wanaanza kukuambia salio lako liko chini ya shilingi 60!sasa mimi najiuliza zile ulizokopa sio sehemu ya salio.hivi kweli ni haki?wizi mtupu!
 
nimekumbuka,pia kuna lile suala la salio ulilokopa kutokuwekwa pamoja na salio lako,kwa nini wenzenu voda wanaweza kuchanganya salio pamoja nyie msifanye hivyo?mbaya zaidi ni pale ukiwa umekopa,ukiangalia salio la kawaida linakuja na ile la mkopo wanakuletea separetly,lakini saa nyingine salio la mkopo huletewi!!!! mmmh!kulikoni?
 
mimi wananikosha pale ambapo,salio lako likiisha,unaruhusiwa fasta kukopa,sasa ukishakopa,mara tu ukianza kupiga simu kwa watu wanaanza kukuambia salio lako liko chini ya shilingi 60!sasa mimi najiuliza zile ulizokopa sio sehemu ya salio.hivi kweli ni haki?wizi mtupu!

hata kama umemaliza deni bado hawaruhusu kugawa salio kwa mtu mwingine. Maana yake nini?
 
tiGo kweli hii miziki wanatukata sana, halafu ukitaka kutoka hawataki, ukijiunga kwenye BlackBerry kila saa wanakukumbusha muda umeisha jiunge na Internet ya tiGo wakati haiwezi, hebu wajulisheni tutawahama

bora ww una miziki.mi binafsi cpendagi kabisa hayo mambo ktk somu yangu
 
Ni wezi kweli! Sometimes they give you service you have NOT ask them and bad enough if you want to unsuscribe it denies.. Mpaka siku moja nikaenda ofisini kwao pale Blue Rock (Arusha) nikawapigia kelele mpaka kikaeleweka.
 
Siku hizi sijui hata wana'chargije rate zao za kupiga simu,unaweza ku'recharge 2000 ukipiga call 1 tu ile unakata unasikia "tiiti-ti" salio lako ni chini ya Tshs 60/=,yaani wizi wa kimachomacho kabisa
 
Back
Top Bottom