Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukiona mini Buzz ingia chukua siti toaa hoooooooojaaaaaaa!! Mini Buzz(Dala Dala) Host:Daniel kijo & Bi kiloboto Time:1800-1830:TBC1
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtandao wa simu wa Airtel toka jana jioni network hamna hapa wilaya ya Maswa,tatizo nini jamani au mmeisha bweteka kwa kuwa mna wateja wengi?Tunaomba mafundi walitafutie ufumbuzi hili tatizo.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Said Ally Mwema amefanya mabadiliko kadhaa ya makamanda wa polisi Mikoa ambapo Kamuhanda ameondolewa Ruvuma na kupelekwa Iringa, Andengenye Thobias katolewa Arusha na...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika na wadau wa sekta hiyo kwa pamoja wameridhia mapendekezo ya Kamati maalumu iliyoundwa kuangalia utaratibu mbadala wa kumfikishia mkulima pembejeo za ruzuku...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kazi kweli,ni mgumu yan hapa npo mitaa ya banana kwny ofisi ya startimes,nje ya mlango wa ofisi kumewekwa tv ambayo inaonye channel ambazo wanazoonyesha startime,mlinzi bado alinde rendo anacheki tv?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa nini katika kalenda, siku ya jumapili inakuwa imewekewa rangi nyekundu, hii ni jina pamoja na tarehe zote zinazoangukia siku hiyo. Maana rangi nyekundu mara nyingi inawakilisha damu, je ina...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tukiwa ni karibu 50% ya kuelekea uchaguzi mkuu 2015, kuna kila dalili timu ya CCM ipo makini sana na inatumia uzoefu na mbinu za hali juu, kuidhoofisha timu ya upinzani, CDM ambayo uzoefu haina 1...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Jmk
Baraza la mawaziri.
0 Reactions
2 Replies
841 Views
Leo nimeenda mlimani city nilikuwa na tatizo na tigo pesa..line nimesajili lakini kufika pale nikaambiwa nitoe kitambulisho changu copy hapo hapo ndani kuna photocopy mashine na copy ni tsh 500...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajf ninyi mna mitazamo gani kwenye hili? Baada ya uteuzi wa January Makamba kuwa naibu waziri wa mawasiliano na alihali dadaake yuko kwenye maswala yanayoshabihiana na wizara husika? (Vodacom).
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Nimechukua muda mrefu kutafakari na kupata uamuzi ambao Nimeridhika kuwa sahihi kwa kuhamia CHADEMA. KWANINI CHADEMA? Kitaalamu unapata majibu mafupi ambayo hayamchoshi yeyote NIA YA DHATI...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Mgao wa umeme waja kwasababu bwawa la mtera haliwezi kujaa maji msimu huu mvua chache sana zimenyesha nyanda za juu kusini.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiasi fulani sasa nimeamini JK akiamua anaweza! Ombi langu kwa JK aonyeshe mfano kwa halmashauri ya manispaa ya Ilala kuna mada iliisha letwa humu JF juu ya ubadhilifu unao fanywa na meya wa...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Hili ni tatizo la foleni kuanzia Pamba road kuna kipande cha barabara mbele ya kituo cha polisi mkandarasi hana vifaa au pesa toka January anahangaika tu hapo. Mabatini nako ni kero unaweza...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Hili alina ubishi kuwa mkoa wa Kagera unastaili pongezi kwa kutoa viongozi wa ngazi za juu serikali.Katika serikali ya hawamu ya nne mkoa umetoa mawaziri shupavu wawili wa Ardhi na Maendeleo ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni ajali mbaya iliyotokea njiapanda ya Moshi-Himo iliyohusisha gari dogo aina ya Nissan iliyokua imebeba wafanyakazi wa Tigo waliokua wanaelekea Himo kwenye promotion iliyogongana na Fuso ya...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Imemalizika press conference hivi punde hapa bk,kikao cha UVCCM Mkoa wa Kagera kimemfukuza katibu wa UVCCM wilaya ya Karagwe kwa madai ya utovu wa nidhamu na kutofuata matakwa ya chama. Kwamba...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama serikali ,wafanya biashara,na wafanyaka kazi kutoka sehemu tofauti mliweza kuonyesha hisia na upendo juu ya msiba wa ndugu yetu aliyetutoka Mar.Steven C.Kanumba (R.I.P).Sasa nawaomba...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Baada ya kuteua baraza la mawaziri Mkuu sasa anakuja na list mpya ya wakurugenzi na wakuu wa mikoa&wilaya. Source: Abbas Kandoro (mkuu wa mkoa-mbeya) tena amesema yule wa Mbozi sasa hayumo. My...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
je ni kweli kumetokea ajal ya basi la kampuni ya champion na dereva amefariki? maana nna mtu wangu amesafir kuelekea dar na mpaka sasa sina mawasiliano nae. anaejua anitoe wacwac
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom