Polisi waendeleza mauwaji zidi ya watanzania wa siyo na hatia.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi waendeleza mauwaji zidi ya watanzania wa siyo na hatia..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crashwise, May 7, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Polisi wa Tanzania mkoani Mara wameendelea na mauwaji kama kawaida yako ni kwenye mgodi wa nyamogo, wamemuua kijana mmoka na mwingine kumjeru vibaya... jamani serikali ya CCM mnataka kutuua watanzania wote halafu watu wakiongea mnasema wanatishia amani je mnayo ihubiri ni hiyo kuwa twanga watanzania risasi.
   
 2. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Siamini kama polisi wa Tanzania yetu wanaweza kufanya hivyo usiwaharibie jina na kuliharibia Taifa sifa zake zilizo jijengea ndani na nje ya nchi
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu wamempiga kijana risasi ya mgongo na kutokea kifuani leo asubuhi...
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mmmmh_police again?. So sad...time will tell.
   
 5. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Polisi wa tz ni policeccm.Hawana haki wala sifa ya kuwalinda hata kuwasifu.Ni wauaji wa kwanza kwa Maslahi ya ccm.Siku zenu zimehesabika na inaweza kuwa na wewe unakula na kufaidi kupitia damu za watanzania.Vurugu zote zinatokea hapa tz chanzo ni
   
Loading...