Mkuchika na maghembe ni wasafi???

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,599
435
Ningependa kujua kama Profesa Magembe na Mh. Mkuchika ni wasafi kuliko Nundu. Sielewi kwa nini wao hawajawajibishwa.
 
Ningependa kujua kama Profesa Magembe na Mh. Mkuchika ni wasafi kuliko Nundu. Sielewi kwa nini wao hawajawajibishwa.
yeah wao hutumia sabuni ya omo ndo maana ni wasafi wale walikuwa hata kuoga hawaogi
 
Back
Top Bottom