Nini Hukumu Ya Mawaziri Walioachwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini Hukumu Ya Mawaziri Walioachwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkereketwa_Huyu, May 8, 2012.

 1. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,204
  Trophy Points: 280
  Naomba kuuliza jambo kwenu wana jamvini mlio na data za uhakika toka huko nyumbani. Hivi badala ya kina Ngeleja na wenzake kuachishwa kazi kwa manufaa ya umma, JK atawafungulia kesi ama kuwachukulia sheria yeyote? Na kama JK hatofanya hivyo, je atakuwa kawatendea watanzania haki? Leteni maoni.
   
 2. l

  lemikaoforo Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatoweza kamwe kuwachukulia hatua yoyote,kalazimishwa/kaamrishwa na chama chake kufanya hivyo na usishangae akawapa ulaji zaidi kama ubalozi nk. Mjomba issue ni kwamba hata yeye ameshiriki saana kwa hayo madili
  Kwani issue za EPA ziko wapi. Hatujawahi kumpata presidaa wa namna hii tangu tz izaliwe. Sijui wtz watamkumbuka kwa lipi
   
Loading...