Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Utafiti wa awali unaonyesha ugomvi wa kugombea urais ndani ya ccm umepungua na utazidi kupungua hasa wanachama na viongozi wengi wanapozidi kuhamia cdm. mmoja wa wa makada wa ccm waliohojiwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo mchana nimeingia mgahawa mmoja hapa Ilala,Iringa mjini,nimemkuta mama ambaye ni mmiliki wa mgahawa huo akiwaambia vijana waliokuwepo ktk mgahawa huo kuwa maisha ya sasa ni bora kuliko...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL), inatarajia kupata ndege nyingine kutoka Misri, baada ya ndege yake kupata ajali ikiwa mkoani Kigoma hivi karibuni. Kwa mujibu wa Kaimu Mkurugenzi wa ATCL, Paul...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Inauma sana watu wa Kirua Magharibi kumchagu Tesha. Jamani naomba yaandaliwe mazingira ya kupata ile kata. Iwekwe mikakati kufungua Matawi ya kutosha ili kuiongezea Chadema nguvu. Matawi ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wadau ninafuatilia hawa mawaziri wa kikwete wakiapishwa na nimemuona adam malima akiapa kuwa naibu waziri wa chakula na kilimo, akitokea Nishati na madini nimetafakari nikaona kama vile hii ni...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hakuna mti mgumu kukata kama unashoka na chakula, utakata taratibu mpaka utaisha usiku na mchana wiki moja mbili hadi unapomaliza. Usiwe na hasira utadondoka tuu. CDM kaza buti hawa wapya anzeni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wachina na Mayai 'Feki' yanayotengenezwa kwa Kemikali In China there are fake schools and classes that teach a variety of blatant fraud technology, even eggs can be modulated by chemical...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nimezipata kwamba kijana alipima upepo akajua mwaka huu hawezi tena kuukwaa uenyekiti wa uvccm mkoa wa arusha ndo maana akasepa ili kuepuka fedheha
0 Reactions
10 Replies
2K Views
jamani wanachadema mliopo Arusha tunaomba mtuhakikishie hili la wimbo wa taifa kubadilishwa.natumiwa sms kuwa badala ya kuimba MUNGu ibariki Tanzania wanaimba MUNGU ibariki CHADEMA.vipi jamani ni...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mabadiliko ya katiba yetu, nitafrahi sana endapo siku moja nitakutana kifungu kinachoniambia. "UHURU WA MGOMBEA BINAFSI" Nafikiri nchi itaendelea.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nimepokea sms katika simu yngu yenye ujumbe ufuatao! "Call for free your number has been selected to win 50000$ call us 02698010629 now this is your chance" sender:+2698010629 sent...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimesikia toka WAPO Radio kwamba kuna maandamano wa Wahanga wa mlipuko wa mabomu huko Gongo la mboto kuelekea kwa Mkuu wa Mkoa. Kwa mujibu wa Radio hiyo waandamanaji wameishafika hapo kwa Mkuu wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Zifuatazo ni baadhi ya tuhuma zilizokuwa zimeibuliwa na CAG kwenye wizara za mawaziri hadi kupelekea kuwaponza mawaziri hawa:- Mustafa Mkulo: Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo ndiye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF kuna mafuta machafu yaliyoingizwa nchini na TPDC na kuyauza katika nchi za Rwanda, Burundi na Uganda yamerudishwa nchini kwasababu mafuta hayo ni machafu kupindukia na nimepita ktk mpaka...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo katika pita pita zangu kwenye mji wa Arusha nimeona gar aina ya Hiace ya abiria ikiwa na bendera ya CHADEMA,alaf kioo cha nyuma kina haya maandishi BORA UKIMWI KULIKO CCM hii inaashiria nin jmn
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF leo mchana JK aliwasili nyumbani kwa aliyekuwa Dereva ikulu kutoa salam zake za mwisho kwa marehemu dereva huyo kabla ya maiti kusafirishwa kwenda morogoro. Source TBC...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hawa wanaokamatwa na hizi dawa za kulevya ni matajiri aisee!Khaa!yaani Kg6 milion 270.Si ninaacha hii kazi yangu ya umaskini kutoka Ukulima?Mwenye deal anitonye wakuu...Au cna qualification?
0 Reactions
0 Replies
778 Views
wapendwa wana jf ni zaidi ya miezi miwili sasa toka nipate habari za tetesi kwamba ina semekana kuna mlima mkubwa sana umeuzwa kwa jamaa moja wa kimarekani ambalo limepewa na hati ya umiliki na...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Jamani habari za weekend natumai kila mmoja yuko sehemu inayompa mapumziko mema ya mwisho wa wiki.Niko kwenye tv sebuleni nimepumzika ktk kubadilisha chaneli nikaweka chaneli ya NHK ya Japani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama sitokosea ilikuwa ni mwaka juzi, Mzee huyu (yousuf Makamba)akiwa zanzibar katika kampeni na kuimarisha chama akihutubia maelfu ya wananchi alisema haya yafuatayo namnukuu hapa: Kama kuna mtu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom