Nafasi za Jkt

Simbamteme

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
784
2,063
Jamani wadau,nimeenda ofisi za wilaya ya ilala nkakutana na watu nyomi na Cv zao,kumuuliza mmoja wao akanambia post za JKT kwa watu wa form 6(freshers) zimetoka..So changamkien kwa wale mnaozitaka..nawasilisha...
 
Back
Top Bottom