Waziri wa nishati..anza na hili Arusha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa nishati..anza na hili Arusha!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sigienet, May 8, 2012.

 1. s

  sigienet Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna adha ya upungufu wa MITA za luku pamoja na nguzo. Imekuwa ni kupokezana, mwaka jana taarifa ktka ofisi za Tanesco mita zilikuwa haba. Cha kushangaza mwaka umeanza, wateja wote wahaohitaji nguzo hawapatiwi huduma. Ni miezi sasa imepita. Tumechoka kusubiri................. Anza na hili.
   
Loading...