Ndugu zangu,
Nimeiona habari kubwa kwenye ITV usiku wa leo; Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Bw. Iddi Simba amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ni Iddi Simba ambaye...
Jaman mtusaidie Iringa mafuta ya taa imekuwa ishu. Wiki ya 2 hayapatikan hapa mjin je ni uchakachuaji au kuna shida gan maana serikal haisemi lolote au inaona kawaida? Tuokoeni!
Habari, natafuta gari aina ya SUZUKI GRAND VITARA kwenye yard za hapa bongo, je ni wapi nitapata? naomba pia nijue faida na hasara za kununulia gari hapa bongo.
Kuna haja bunge kutunga sheria ya kuwabana wenye makampuni ili watoe huduma nzur zaid.Hapa naongelea hasa simu na umeme(TANESCO).kama wakikata mawasiano kwa mda flan wawalipe wateja wa 10%ya mda...
Hongera sana JF
Jana tuliingia jengo la TBC na kupata habari njema kwa wana JF,baada ya uongozi wa TBC kupata taarifa kutoka JF kuwa Tanzania inatangaza habari za Africa Mashariki kwenye Taarifa...
Nimeshuhudia ajali mbaya sana kwenye mataa ya Chang'ombe na Mandela iliyohusisha magari mawili Toyota Coaster na Suzuki Grand Vitara mali ya serikali.
Mimi ni mtumiaji wa barabara hii (makutano)...
kumekuwapo na ongezeke kubwa la matumizi ya mtandao kwa maana ya kutoa maoni.Hoja yangu ni kuwa 2jaribu kuandika v2 wth facts n research as real a great thnkers..nadhan hata Mods yawapasa kuedit...
Future of Nairobi
Siui tunashindwa nini kutumia Reli ya Posta - Ubungo mapaka Wazo Hill (Ramani zipo tu walioenga kwenye proposed railway si wavunjiwe tu nyumba !!),Reli ya Posta Mpaka Pugu...
Dalili zote zinaonyesha wazi muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo ukingoni,je kama huu mdogo tumeshindwa utakuwaje huu wa East Africa??kuna umuhimu wa kukaa na kutafakari na kuamua kujiondoa...
wazanzibar tunacho kidai ni kujitenga na muungano wa tanganyika na zanzibar
HATUWA WALIZO ZICHUKUWA WAZANZIBAR AMBAZO NI SALAMA KABISA
1) WALIKWENDA UN KUDAI UHALALI WA MUUNGANO JE SEREKALI YA...
Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Vyama Vingi kumalizika Tanzania Bara na Visiwani mwaka 2010, Dunia ilishuhudia zoezi la kihistoria la kupiga kura ya maoni iliyopelekea mabadiriko ya Katiba yaliyotoa...
Mara baada ya kuukwaa uheshimiwa sijamsikia tena maalimu SEIF wa Zanzibar... kakaa kimya kama hayupo vile...ile misimamo yake ya kumbozi imeishia wapi kwa huyu bwana mkubwa?? au na yeye...
Miaka michache iliyopita, Maalim Seif Shariff Hamad aliwahi kuleta mjadala kwa kusema tatizo la SMZ ni Wahafidhina walioko Serikalini. Sijui alimaanisha kama ni Uhafidhina wa Kidini au Kisiasa...
Jee waungwana nani asiojuwa kuwa Sep 11 Waislam walitolewa tu kafara, lakini nyuma ya Pazia Kulikuwa na mkono wa Yahudu? Wao ndio waliokula kitoweyo na waslamu wakarushiwa mavumba (lawama).
Sasa...
Uamsho wa kipentekoste
Uamsho wa Ki-Roman Catholic
Uamsho wa Ki-Anglikana
Uamsho wa Ki-shea
Uamsho wa Ki-answal
Uamsho wa ki-budha
Uamsho wa kipagan
Uamsho wa kihuni.
Uamsho wa kigongo...
Pesa haziendi hewani kwa wakati, wakala anakwambia pesa kwake imetoka ukiangalia salio hulioni! Pesa ikienda kwa mtu mwinggine kimakosa unaambiwa itarudishwa kwako baada ya masaa 24 kumbe uongo...
Na Mwandishi Wetu
VIJIJI nane kati ya 21 vinavyounda Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori katika Tarafa za Idodi na Pawaga (Mbomipa) vimetishia kwenda mahakamani kupinga mikataba ya uwekezaji...
Jamani Wakuu!
Jeshi la polisi limekuwa likitumia nguvu kupita kiasi kushambulia wananchi ambao mara nyingi huwa wanatekeleza haki yao ya KIKATIBA.
Moyo unaniuma kwa kuwa vitendo hivyo vya...
Anadaiwa kumkunja shati mwandishi wa habari wa gazeti la mtanzania Audax mutiganzi kwa madai kuwa amekuwa akianadika habari za kudhalilisha manispaa ya bukoba.kuna issue ya kuboboa soko kuu ambapo...