I wish mafithad wa sisiemu wangekuwa kama charlz teila... Ningeweka sherehe' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I wish mafithad wa sisiemu wangekuwa kama charlz teila... Ningeweka sherehe'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sir.JAPHET, May 30, 2012.

 1. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nalia na kuomboleza kuwa hawa mafithad walio jichana na kujinoma raslimal za taifa le2, naomba liwe somo kwa mafithad na majiz yote yaliyojichimbia ndan na nje ya taifa hili, yasije yakawakuta yaliyo mkuta teila na kuwatokea puani! Na haswaa miaka 50 jela! Ni onyo yasije yakawakuta
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280

  ????? unakimbilia wapi! andika habari ilieleweke!! mkuu hii ni forum sio facebook status..
   
Loading...